Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Dah! Ulibahatika.
Huko ngoja nifanye jambo aisee.!!
Uzuri wa asset km ardhi inapanda thamani kila siku.!
Kabisa mdogo wangu

Mimi nasemaga hela hifadhi ardhini.Bank save kidogo tu hata ukihitajika kutibiwa India usidhlilike kupitisha bakuli.
 
Njoo nikukatie kiwanja cha 20 kwa 20 hapa maeneo ya Posta mpya karibu kabisa na bahari, achana na hiyo nyumba ya huko uswekeni Maramba.
 
Hataree watu badala ya kutoa ushauri wanaleta makasiriko nimewaona nimebaki nasikitika tu.! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😁😁😁 kwa navokujua mdogo wangu hapo unajifanya tu umesikitika ila unatamani uwachochee wagombane hadi wanyofoane ndevuπŸ˜πŸ˜πŸƒπŸƒ
 
Hivi tuseme ungekua na hio hio nyumba moja na ndio chanzo pekee cha mapato, na hio hali ndio imekutokea, ungelifanya nini?
Sijui mkuu ila nisingezembea
 
Inategemeana na location pia.

Kama iko malamba mawili mwisho karibu na hizo Boda boda na bajaji pale barabarani unapata hadi 400k au zaidi.

Lakini kama iko kule kwa mzalendo kodi itapungua
Huko kwa mzalendo sipajui mkuu ila huko mwisho kwenye bodaboda ni kule
msikitini kwa mzee mchicha au?
 
Huo mtaa utakuwa no kununa πŸ˜‚πŸ˜‚
Na mimi ntakuwa nazidi kumpatia vitu vyake pendwa, mzigo ukishuka tu wa kwanza yeye kuchagua.!!
😁😁😁 watahisi tunatumia vitu vikali,

Mzee wa bucci angekuganda hadi ukomeπŸ˜„
 
😁😁😁 kwa navokujua mdogo wangu hapo unajifanya tu umesikitika ila unatamani uwachochee wagombane hadi wanyofoane ndevuπŸ˜πŸ˜πŸƒπŸƒ
Nimeona tutaharibu uzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole Mkuu.......ni muhimu sana unapowekeza utafakari. Nyumba yako ina thamani zaidi ya 50M unapangisha kwa Laki na 50 kwa mwezi. Ni hasara kubwa sana
Yaani.
Siku wakiondoka wameharibu hata hela ya kukarabati haitoshi
Sema hata hivyo biashara ya nyumba kupangisha ni kichaa.Hailipi.
Mimi nazijengaga kama kuhifadhi hela tu sbb sipendi kuhifadhi hela nyingi bank
 
Tafuta Hela ujenge nyumba ndiyo utajuwa nyumba inajengwaje ,hii chai Yako siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…