Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Mkuu pia pita huko uswahilini zipo kibaoFrem ya elfu 20 dar es salamaa hii hii ninayo ijua mimi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pia pita huko uswahilini zipo kibaoFrem ya elfu 20 dar es salamaa hii hii ninayo ijua mimi??
Kwanza tafuta UTULIVU unaMimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.
Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.
Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.
Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Kama una miaka 34 ina maana watoto wako bado wadogo! Je, ukiuza hiyo nyumba hao watoto wadogo wataishi wapi? Hiyo biashara ya magari inayokushawishi kuuza nyumba una uzoefu nayo?!Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Ndio mkuu..wanaijeria kibao wanazamia huko naonaWewe unazani south ni nchi tajiri sindiyo ulivyo maanisha?
Auuuze kitimoto itamlipaUnauza nyumba ili iweje, sikia kama una angalau milioni moja hapo na upo dar, tafuta mtaani uliochangamka kodi fremu ya elfu 20 miezi sita kisha watafute wale wa magari ya gesi nunua mitungi ya gesi ya laki tano weka kwenye fremu anza kuuza, biashara hii haina hasara, unaweza kuingiza hata laki kwa wiki kama ukifungua kwenye mtaa mzuri.
Chukua hiyo laki tano iliyobaki fungua butcher la nyama, tafuta frem mtaani hata ya elfu 20 miezi sita, nunua panga, shoka, gogo, mzani na machuma ya kuanikia nyama anza kazi kuhusu friji sijui vioo utaweka siku nyengine hapo nunua tu nyama ya ng'ombe machinjoni anza kazi, ukiuza kilo moja ya nyama unapata elfu kumi hivyo watu kumi hapo una laki yak, hivyo kwa wiki huwezi kukosa wateja wanyama ya ng'ombe mtaani biashara hii haina hasara kwa dar es salaam
Kila la kheri biashara hizo mbili naamini zitakutoa mkuu, kama huna hiyo million moja kama nyumba inakiwanja kikubwa sana kata enso uza upate mtaji
Uza nyumba halafu kanunue uwanja ujenge hata nyumba ya vyumba vitatu tu halafu hera inayobaki ingiza kwenye biashara unayoitakaMimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.
Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.
Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.
Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Unaanzaje kuwaza kuuza nyumba ambayo mnaishi na familia Eti kisa wewe ni Mwanaume!!Katika maisha jifunze kupambana,Hatuuzi ulichopata Cha msingi kwa familia,ukiwa mtu wa kuuza Mali utaishia pabaya!
Hujatingwa ndugu yangu, hujawahi kuona una nyumba nzuri vitanda vizuri magodoro mazuri, lakini umeishiwa mpaka mashuka ya kujifunika huna, na chakula hamnaKatika maisha jifunze kupambana,Hatuuzi ulichopata Cha msingi kwa familia,ukiwa mtu wa kuuza Mali utaishia pabaya!
Lipa ZAKA Ili usifikie Hali hiyo ya kudhalilika.Hujatingwa ndugu yangu, hujawahi kuona una nyumba nzuri vitanda vizuri magodoro mazuri, lakini umeishiwa mpaka mashuka ya kujifunika huna, na chakula hamna
Kwani kabla hajajenga alikuwa mgeni wa nani!? Maisha hayahitaji watu waoga wakujifanya wanayajua sana yajayo!!!Ukiuza Nyumba na biashara ukafeli utakuwa mgeni wa nani na wanao?Dalali hana Mtaji,pambana na Domo!
Nimefunga maneno kwa comment hii.Ukiuza Nyumba na biashara ukafeli utakuwa mgeni wa nani na wanao?Dalali hana Mtaji,pambana na Domo!
Ni mkosi kuuza kitu ulicho kitaftaHii TABIA ya Mwanaume kukwama kidogo, Badala ya Kupambana kutafuta pesa anawaza kuuza vinavyomzunguka TABIA hii inakera sana.
Mwingine anakwama kdg, anauza vyote alivyonavyo ndani Hadi godoro.
Kule pwani, kijana Yuko radhi auze Hadi suruali yake Ili apate pesa ya kwenda mziki.
Uanaume ni kuwa na maono na Kupambana, hiyo Roho ya uza uza ishindwe Kwa Jina la YESU.