mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ni kweli wanapigana na kushikiana shoka. Hakuna mapenzi ni ushenzi.
Kila mtu achukue time zake.
Jamaa anadai waliumizana, ila yeye jamaa hajatibiwa aliyetibiwa na mke.
Everyday is Saturday.............................. 😎
Watu tuna experience na hizi mambo mwaliKwanini wamshangae? Nini dhumuni la dawati la jinsia?
Shika adabu yako hujui watu wametoka wapi baada ya kuwambia wasameheyane wewe chura huna mke hapo daa dekii ,sasa akiachwa utamuoa weye.Pole sana. Hakuna ndoa hapo. Mnalazimishana tu.
Kuhusu hao polisi, tembeza hela tu na wewe hakuna namna.
Wengi tu wanapelekwa na hakuna anayeshangaa.Watu tuna experience na hizi mambo mwali
Sawa sawa kakufanyia kuna wanaume wafalme wa kupiga wanawawake kama umeozoea kupiga nafikiri itakuwa fundisho kwako hata kama itakuwa basi kwake other wise omba msamaha na bangi zako za kupiga wacha mara moja .Nawaunga mkono wanawake wanaopigwa na waume zao au hata boy friend zao waende Polisi tu hiyo ndio kiboko ya wapigajii.Nchi ina sharia zake .Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom na kwenda kwao ndo karudi kisirisiri kukisanua,alitaka kunipoga shoka ndipo nikamtime nakumlaza kwa mtama
MLIPIGANA...na ndio maana mliumia.Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia
Mkuu!Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom na kwenda kwao ndo karudi kisirisiri kukisanua,alitaka kunipoga shoka ndipo nikamtime nakumlaza kwa mtama
Hata ndugu wa mke wawe makini. Mke akili ikishatulia, atawageuka ndugu watabaki kumshangaa. 😅Kati ya watu wagumu kushaurika ni wanandoa leo utashauriwa kesho utapatana na mkeo na kuwaona washauri wachonganishi
Mkuu aliyeumia ni yule aliyeenda kutibiwa, hapa mleta mada hajauguzwa. Anaishi ka digidigi anakwepa polisi.MLIPIGANA...na ndio maana mliumia.
Na hapo ndio atakamatiwa ingawa kwenye maelezo yake anadai wote waliumia.Mkuu aliyeumia ni yule aliyeenda kutibiwa, hapa mleta mada hajauguzwa. Anaishi ka digidigi anakwepa polisi.
Everyday is Saturday.............................. 😎
Tafuta hela dogo. Washikishe polisi kishika uchumba kikubwa kuliko cha mkeo. Ataambiwa tu kamalizieni ishu yenu nyumbani.... Nawe unaimaliza kwa amani kabisa kwa talaka safi kabisa.Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Hahaa, Kwamba second wife kasababisha?
Anataka akutengenezee mazingira ya kumsujudia baada ya kutoka Polisi. Kila ukifanya jambo atakwambia nakupeleka kwa wanaume wenzio wakutie adabu. Atakunyanyasa sana, kuna jamaa alihama nyumba baada ya kuwekwa ndani na mkewe, akawa mwendo wa kumtisha baada ya kutoka. Na mwanamke alipewa namba za Polisi, akaambiwa hata akikuonesha kidole piga simu tunakuja chapImeshindikana mkuu
Nenda, ukitoka mwambie ndoa hakuna.Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Pole, umezaa nae watoto wangapi?Kifamilia imeshindikana kwani alienda kwao baada ya kuuguzwa na wazazi wangu,inaonekana ameshinikizwa ili kunikomoa tu
Pole sana mkuu, kuepuka kuwekwa ndani fanya mchakato wa kupata wadhamini wawili mmoja awe mtumishi wa serkali kabisa andaa barua zako then kesho mapema tu nenda naoSiku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Unaweza kuta hata papuchi kawapa kabisa ili atimize lengo lake. Ulimaliza hii kesi achana nae kabisa.Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police