Naombeni ushauri, Mke wangu ana mimba nyingine

Baadhi ya wanaume hawatoi ushirikiano kabisa kwenye swala la uzazi wa mpango kabla haya hayajatokea.... Then yakitokea wanaleta uzi JF🀭🧐😴
 
Kwenye kila thread au comment ya huyu mwamba, lazima umkumbushe kuondoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wana wivu na makasiriko kwani jf ya baba yaoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™
 
Mimi na kaka yangu tunapishana miaka miwili. Sasa huyo mtoto ana mwaka na miezi minne jumlisha miezi nane ya mimba atakuwa tayari na miaka miwili na miezi kadhaa. Lea mimba mkuu.
 
Wanaume wengine bwana; kwa hiyo wewe ulikuwa unakula tu mzigo bila kujua kuwa Mimba itaingia?
Kwa nini hukujadili na mkeo mkapata ushauri wa namna ya kuzuia Mimba hadi mtoto akue?
Hata hivyo sio mbaya sana kwani mkeo anaweza kuendelea kunyonyesha kwa miezi mingine hata 5 hivi ambapo dogo atakaribia miaka miwili ambayo ndio umri sahihi unatakiwa kumuachisha kunyonya.
 
Mimi na kaka yangu tunapishana miaka miwili. Sasa huyo mtoto ana mwaka na miezi minne jumlisha miezi nane ya mimba atakuwa tayari na miaka miwili na miezi kadhaa. Lea mimba mkuu.
Sawaa mkuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…