Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Why asicheze mkuu? Na sio kwamba anaenda kucheza mbali No. Anacheza na watoto wenzake was nyumba za jirani
Sijui unaishi mazingira gani hivyo siwezi kukuhukumu sana. Ila kwa dunia ya leo mzee wangu sehemu pekee yenye usalama kwa mtoto wako hasa kwa rika la mwanao ni ndani kwako.

Mitaani kuna mengi mno yanayoendelea, dunia imeharibika. Hata jirani uliepakana nae hupaswi kumuamini na mwanao.
 
Hao watoto waliodakana wana umri gani?

Bila shaka mwanao huwa anacheza na watoto wakubwa kiumri.
Hao ndio sumu, kama wamo wenye tabia mbaya.

Muhimu mfundishe mwanao baya na jema.
Mwambie kufanya baya Mungu hapendi na adhabu yake ni kuchapwa viboko vingi.
 
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .

Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.

Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .

Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.

Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.

Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Tulia kesho nae akadakishwe mshale kama DJIGUI DIARA
 
Dawa ni maombi hii dunia malezi ya siku hizi ni magumu mno watoto wakienda shule, wakienda michezoni kuna mengi yanafanyika nyuma ya pazia bila wazazi kujua omba Mungu akuoneshe malezi bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata makanisani wachungaji wana dakana na kondo zao, .......usipoteze mda kukuza hilo linda mwanao nyumbani uskmruhusu kutoka nje mara kwa mara na watoto wamajirani, usipoteze mda wako eti unaenda maombini.
 
Cha kwanza muulize kwa utaratibu kama na yeye washamdaka,ikibidi mnunulie hata anachokipenda ili akwambie ukweli!
Alafu majibu yake ndo yaamue your next step mana hata ukimtenga na hao watoto kama kashadakwa haitamsaidia

Kama umepanga hama huko uswazi kama ni kwako mkinge jenga fence
Mkuu atanikijenga fence,vipi kuhusu shule? Lazima anakutana nao huko.
 
Hata makanisani wachungaji wana dakana na kondo zao, .......usipoteze mda kukuza hilo linda mwanao nyumbani uskmruhusu kutoka nje mara kwa mara na watoto wamajirani, usipoteze mda wako eti unaenda maombini.
Maombi sio lazima uende kanisani kwa mchungaji acheni kukariri unaweza ukawa na sessions za ibada home kwako na ukawapa watoto wako malezi bora hakuna njia pekee ya kuokoa maadili ya kizazi hiki pasipo uwepo wa mausia ya Kiroho kutoka katika vitabu vya maadili mema kama biblia etc... nadhani umepata point yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya mtoto kucheza kwa jirani na watoto wengine kuonekana kama ni kitu muhimu sana sio sawa.

Kama mazingira yanaruhusu hakuna kucheza kwa jirani isipokuwa siku moja moja napo isizidi saa 1 arudi nyumbani au umfuate.
 
Alikusudia kusema wamebakana.
Ndivyo nilivyosikia kesi nyingi kwenye vikao vya wazazi shule kadhaa.
 
Mkuu atanikijenga fence,vipi kuhusu shule? Lazima anakutana nao huko.
Kukutana nao sio ishu,ishu ni anawachukuliaje?anajua nini kuhusu kudakana?maadam amejua basi ni vema mkaongea nae do's and don'ts,
Wa kwangu pia nilifanya hivyo so chochote kinachotokea shule lazima akirudi aniambie,
 
Simple tu hapo...
Kama umejenga..weka ukuta
Kama umepanga...katafute eneo lililotulia kwa malezi mema ya mwanao....
Ukiwa unatafuta eneo angalia majiran zako
 
Nikawaida tu mkuu hata wewe uliwai kudakana ukiwa mdogo sema tu umesahau

Na usitishwe na umri zamani tulikuwa tunachelewa kutokana na mzingira ya kipindi kile lakini skuhizi watoto wanayajua mabo haya mapema kutokana na Mambo ya utanda wazi

Jumlisha nyumba za kupanga chumba kimoja watoto wamelala pembeni huku baba na mama wanaendelea kulimana pembeni

Umaskini kitu mbaya mkuu

Chakufanya kwasasa mwambie mkidakana utakufa inatosha Sana
 
Mdake

PUMBAV WARU WAPO SERIOUS UNATUAMBIA MAOMBI AYA SASA JIFUNGIE CHUMBANI UKAE UKIOMBA CHAKULA KIJE
Acha makasiriko elewa point yangu, aweke utaratibu wa ibada nyumba maombi pamoja na mausia ya kidini hapo ataweza malezi bora nje ya hapo hakuna atakayeweza kutoboa malezi bora katika kizazi hiki cha leo na kinachokuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom