Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Funguka mkuu
Mtoto wako anaoneka msanii tu, unakuta huo ni uzushi aliousikia kutoka kwa rafiki zake akaamua akufikishie na wewe dingi asikie unasemaje.

Sasa ushauri wangu nilitaka umuongoze apende Madrassa au Sunday school lakini basi acha nimekumbuka kitu.
 
Mtoto wa miaka 4 anachezaje nje kiasi cha kushuhudia wenzie wakidakana?
Umezaliwa kwenye mageti makali nini 😅😅😅 huku uswazi watoto huwaambii kitu kwanza watoto wa uswahili mungu awanusuru.
 
Umezaliwa kwenye mageti makali nini 😅😅😅 huku uswazi watoto huwaambii kitu kwanza watoto wa uswahili mungu awanusuru.
Nilishangaa madogo wanaimba wimbo wa Zuchu Honey mwanzo mwisho alafu wanachezeana Honey Hani Kibuno Kibuno wanashikana viuno
 
Siku hizi mama zao wanacheza vigoma vya uruguay wakiwa uchi ndio watoto utawaambia nini 🤭🤭🤭
Nilishangaa sana yaan madogo wameukariri wimbo mwanzo mpaka Mwisho na video wanakariri tukio baada ya tukio yaan wanaimeza video nzima alafu wanaanza kuigiza km walivyoona kwenye video Hani Hani
 
Nilishangaa sana yaan madogo wameukariri wimbo mwanzo mpaka Mwisho na video wanakariri tukio baada ya tukio yaan wanaimeza video nzima alafu wanaanza kuigiza km walivyoona kwenye video Hani Hani
Hako kawimbo watoto asa wakike wanakapenda kweliiii
 
Kwenye mikusanyiko ya watoto hivo vitu mbona vipo. Kiswazi swazi ni vya kufikia tu.. Anyway,
-Mwambie hao wanaodakana baadae wataugu na watakufa, nawewe ukidakana tuu, utakufa na ukifa unaenda motoni kwa shetani. Au
- mtishie mkong'oto. Mwambie siku nikisikia nawewe umedakana yaani nitakuchapa vibaya mno.
Hii ya kumtishia stick ndo inakuwaga effective, sababu hiyo ya kutishia kufa akishaona wanaodakaba hawafi ataidharau.
 
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .

Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.

Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .

Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.

Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.

Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Mkuu
Hapo unaonekana wewe una ubinafsi. Unaangalia mwanao asiharibike lakini hauna huruma kwa watoto wenzake ambao washaharibika.

Kwa kujibu swali lako, nakushauri mhamishe mwanao nje ya eneo hilo, mpeleke kambi maalum ya watoto huko hatohatibiwa na wanaodakana. Kama unaona is good kukaa naye hapo mazingira hayo basi chukua jukumu la uzazi hadi kwa watoto wasio wa kwako ili kumuepusha mwanao na majahili waliojazana mitaani ambao walikosa malezi na wakapuuzwa na jamii kwa sababu kila mmoja aliona hawajibiki kwa mtoto asiye wake na sasa jamii inavunq majahili na waovu wa kila namna
 
Sijui hata nikushauri vipi,nilikua nataka nikwambie uhame huko,lkn huko unakoenda linatokea libaazazi lingine nalo linaanza kumuita mwanao mchumba,kama linatania vile kumbe liko serious...
 
Madogo wa uswazi wakishafika miaka 3/4 wanajua uchafu mwingi sana huko nje maana wanakutana na wenzao wanaolala na baba na Mama chumba kimoja kwa hio kifuatacho utaelewa

Kwa huku mtaani kudakana kwa watoto wenye umri huo wa miaka 3/4 si jambo la kushangaza tena.

Kuna mtoto wa jirani yangu (ke) umri miaka (4) nilimkuta akidakwa huku kwenye uchochoro na kitoto (me) chenye miaka 4.5 au 5.

Niliwatimua kisha nikanyanyua simu kwa mzazi wake "Mwanao anadakana huku uchochoroni na rafiki yake ...." Kabla sijamtaja jina yule mzazi akamalizia jina la mdakanaji wa kiume.

Kumbe naye mzazi aliwahi wakamata.
 
Back
Top Bottom