Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Sijakuelewa
Anamaanisha miaka hiyo mtoto akiongea hivyo kwanza atatiwa fimbo sio za taifa hili na hao walio dakana basi watapigwa fimbo ambazo hawatosahau hadi kaburini. Nakumbuka kudakana lilikuwa kosa la kijiji linaishia mpka shuleni. Tuliogooa sana kudakana
 
Kuwa makini bila shaka yoyote anayefuatia kudakwa ni huyo wa kwako.

Mkumbushe ule wimbo wa "TOUCH" & "DON'T TOUCH"
 
Wakishatoka kudakana na kuimbiana Hani wanaanza kuimbiana 'Nalindwa na Mungu'
Hili wazazi hawana muda nao kwa kisingizio cha kutingwa na maisha huku kutwa kucha wakichepuka kutegeana kulea watoto, sasa utakuta mwanaume analala guest ya 20,000 na kuhonga malaya huku nyumbani watoto washindia tembele, hili halifai.
 
Yes that's how it's ndio inavyokua wazazi wanachepuka kwanza baadae nyumbani mahesabu watoto nao wanadakana
 
Yes that's how it's ndio inavyokua wazazi wanachepuka kwanza baadae nyumbani mahesabu watoto nao wanadakana
Hili linahitaji elimu....hawa wavaa bikini wameharibu watu sana.
 
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .

Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.

Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .

Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.

Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.

Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.

They are just children, na hao watoto watakuwa wanaona wazazi wao wakidakana, mueleze tu no tabia mbaya is all, wacha kulia lia.
 
Mfundishe ajue nyeti zake hazipaswi kuguswa na yeyote, kazi ya nyeti ni kwenda haja kubwa na ndogo tu. Kwa umri wake inatosha.

Mchunge asicheze mbali na nyumbani, kwa kumnunulia vitu vingi vya kuchezea nyumbani.

Mtenge kabisa na baadhi ya watoto wa mbwa, ambao hawajapewa malezi mazuri na wazazi wao, wakiwa karibu naye watamuharibu. Kuna wazazi wanalala na watoto wao wa miaka6 kitanda kimoja, mpaka watoto wanawaona "wakidakana".
 
Malezi kuanzia ngazi ya familia kwa asilimia kubwa tayari yameshakuwa damaged beyond repair . Na kwa jinsi maisha yalivyo na huu utandawazi sioni bright future kwa kizazi cha baadaye ndani ya jamii.
 
Sijui hata nikushauri vipi,nilikua nataka nikwambie uhame huko,lkn huko unakoenda linatokea libaazazi lingine nalo linaanza kumuita mwanao mchumba,kama linatania vile kumbe liko serious...
😂😂😂😂Nimecheka japo sijapenda
 
Nikimpiga naona nitamuweka mbali na Mimi! Naamini fimbo sometime zinamsaidia,lakini pia zinaondoa urafiki na mtoto. Kesho hataniambia Jambo baya zaidi
Anamaanisha miaka hiyo mtoto akiongea hivyo kwanza atatiwa fimbo sio za taifa hili na hao walio dakana basi watapigwa fimbo ambazo hawatosahau hadi kaburini. Nakumbuka kudakana lilikuwa kosa la kijiji linaishia mpka shuleni. Tuliogooa sana kudakana
 
Ilo suala lipo watafute ao wazazi wa ao wtoto wakalishwe chini watoe maelezo na wachapwe barabarah , hapa mtaani kuna vitoto vya kiume darasa la kwanza na la tatu na la piil wote wakiume moja akaja kusema fulani na fulani wanabakana lahaulah
Nilimvuta chemba nikamuuliza vizuri walikuwa wanafanyaje akatoa maelezo yalionuooka kitendo halisi kwamba mmja anavua na mwenzie anavua anachukuw dudu anamwingiz kwa nyuma alafu kizam zam tulishika mikono kichwa tukamuuliza yule mdogo wewe je waliwah kukufanyia akaataa kata kata akasema ile tabia mbaya fulani ndo anamwambia mwenzie tukabakane mi hata sibakani nawaangalia

Wale watoto tulichapa yule msimuliaji nae tulimlamba ili atoe maelezo vizuri tuliwachapa vizuri tukawapeleka kwa wazaz wao wakalambwa vizuri saivi nyendo zao zipo okey
 
Mfundishe ajue nyeti zake hazipaswi kuguswa na yeyote, kazi ya nyeti ni kwenda haja kubwa na ndogo tu. Kwa umri wake inatosha.

Mchunge asicheze mbali na nyumbani, kwa kumnunulia vitu vingi vya kuchezea nyumbani.

Mtenge kabisa na baadhi ya watoto wa mbwa, ambao hawajapewa malezi mazuri na wazazi wao, wakiwa karibu naye watamuharibu. Kuna wazazi wanalala na watoto wao wa miaka6 kitanda kimoja, mpaka watoto wanawaona "wakidakana".
Dkt. Gwajima D
 
kama unafahamiana na wazazi wa hao watoto walio 'dakana' wafikishie hili swala ili mfanye kuwakanya wote kwa pamoja mmalize tatizo lote, na kama kuna jinsi wanajifunza hiyo tabia mfahamu pia tatizo limeanzia wapi
Afanyie kazi huu ushauri. Kudos shem
Ukiacha nyeto utafika mbali 😉
 
Back
Top Bottom