Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Ndio umpe mdogo wako sasa na yeye ajitafunieTutamfutia mke kabila letu hatuvunji miiko kwa uzinzi, ni laana kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umpe mdogo wako sasa na yeye ajitafunieTutamfutia mke kabila letu hatuvunji miiko kwa uzinzi, ni laana kubwa
Amwambie asije akathubutu akadakana na wenzio hata siku mojaInasikitisha sana.. nimefurahi kakueleza Mpe moyo mfunze yapi ni yapi
Lolote utaongea nae usimgombeze kabisaaaa.. kuwa rafiki yake zaidi na akuamini wewe na mwenzako.. pogeni nae kama story.. itamuingia kizaidi kuliko kumpa uwoga.. muongee asiwepo mpange kumfunza kwa pamoja hata mmoja akiwa hayupo
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.
Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .
Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.
Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.
Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Endelea Kumwambia Kila siku kuwa huo Mchezo sio Mzuri, Mwambie Pia awe anakwambia Kila akiona watoto wakidakana, pia Mwambie Mtu ama Mtoto yeyote akitaka Kumdaka akatae, akimbie, kama ni Shule akaseme Kwa Teacher na akija Nyumbani akwambieNaombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.
Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .
Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.
Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.
Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Ni kweli ila atafute lugha sio hilo neno lako.. Kunaaneno ya kirafiki.. asimuache akiwa na ngoja ajaribu..Amwambie asije akathubutu akadakana na wenzio hata siku moja
Amwambie asije akathubutu akadakana na wenzioNi kweli ila atafute lugha sio hilo neno lako.. Kunaaneno ya kirafiki.. asimuache akiwa na ngoja ajaribu..
Hilo ndiyo jibu, awafikishie wazazi ili kila mmoja aongee na mwanaye na kumkanya, sababu yeye si kisiwa ataenda kucheza tu.kama unafahamiana na wazazi wa hao watoto walio 'dakana' wafikishie hili swala ili mfanye kuwakanya wote kwa pamoja mmalize tatizo lote, na kama kuna jinsi wanajifunza hiyo tabia mfahamu pia tatizo limeanzia wapi
Ee mwanawane karibu tupate shishaWe Selemani au sio?
Kwanin unaongea upuuzi namna hiiKama amejua kudakana na yeye kashadakwa...
Kama umepanga hama kabisa hilo eneo tafuta sehemu palipo staharabika maana bila shaka inaonekana hiyo sehemu ni uswahilini.Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.
Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .
Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.
Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.
Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Malezi ya Facebook... baba tangu asili ni mwamba furani akiingia ndani si mama wala watoto wote anatakiwa kuwa bussy labda apende yeye mfurahiInasikitisha sana.. nimefurahi kakueleza Mpe moyo mfunze yapi ni yapi
Lolote utaongea nae usimgombeze kabisaaaa.. kuwa rafiki yake zaidi na akuamini wewe na mwenzako.. pogeni nae kama story.. itamuingia kizaidi kuliko kumpa uwoga.. muongee asiwepo mpange kumfunza kwa pamoja hata mmoja akiwa hayupo
Et ku dig deeper 😂😂😂🙌🙌🙌Daka niku dake = Dakana
Huyo mtoto kwa aliyoyaongea huna haja yakumficha chochote anajua kuliko unavyodhani, kaanae vizuri akuanbie anavyojua ili na wewe umwambie ambavyo havijui kwa kifanya awe na awareness na hilo jambo.
Kosa kubwa utakalofanya nikujaribu ku create any resistance hapo, maana kufanya hiyo ndio ume create awareness kwa huyo mtoto ku dig deeper kuyajua yahusuyo KUDAKANA
Duuuuh!! Comment kichefuchefu kuliko zote ya post uii😄😄😄Kama amejua kudakana na yeye kashadakwa...
Si walikuwa wanakimbizana jamani sasa wamedakana...Duuuuh!! Comment kichefuchefu kuliko zote ya post uii[emoji1][emoji1][emoji1]