Revocatus junior 93
Senior Member
- Oct 14, 2016
- 167
- 325
Wewe FAKE..
Sijui unaishi mazingira gani hivyo siwezi kukuhukumu sana. Ila kwa dunia ya leo mzee wangu sehemu pekee yenye usalama kwa mtoto wako hasa kwa rika la mwanao ni ndani kwako.Why asicheze mkuu? Na sio kwamba anaenda kucheza mbali No. Anacheza na watoto wenzake was nyumba za jirani
Tulia kesho nae akadakishwe mshale kama DJIGUI DIARANaombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.
Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .
Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.
Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.
Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Hata makanisani wachungaji wana dakana na kondo zao, .......usipoteze mda kukuza hilo linda mwanao nyumbani uskmruhusu kutoka nje mara kwa mara na watoto wamajirani, usipoteze mda wako eti unaenda maombini.Dawa ni maombi hii dunia malezi ya siku hizi ni magumu mno watoto wakienda shule, wakienda michezoni kuna mengi yanafanyika nyuma ya pazia bila wazazi kujua omba Mungu akuoneshe malezi bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza muulize kwa utaratibu kama na yeye washamdaka,ikibidi mnunulie hata anachokipenda ili akwambie ukweli!
Alafu majibu yake ndo yaamue your next step mana hata ukimtenga na hao watoto kama kashadakwa haitamsaidia
Mkuu atanikijenga fence,vipi kuhusu shule? Lazima anakutana nao huko.Kama umepanga hama huko uswazi kama ni kwako mkinge jenga fence
Shule kuna walimu wanawachungaMkuu atanikaijenga fence,vipi kuhusu shule? Lazima anakutana nao huko.
Maombi sio lazima uende kanisani kwa mchungaji acheni kukariri unaweza ukawa na sessions za ibada home kwako na ukawapa watoto wako malezi bora hakuna njia pekee ya kuokoa maadili ya kizazi hiki pasipo uwepo wa mausia ya Kiroho kutoka katika vitabu vya maadili mema kama biblia etc... nadhani umepata point yangu.Hata makanisani wachungaji wana dakana na kondo zao, .......usipoteze mda kukuza hilo linda mwanao nyumbani uskmruhusu kutoka nje mara kwa mara na watoto wamajirani, usipoteze mda wako eti unaenda maombini.
Kukutana nao sio ishu,ishu ni anawachukuliaje?anajua nini kuhusu kudakana?maadam amejua basi ni vema mkaongea nae do's and don'ts,Mkuu atanikijenga fence,vipi kuhusu shule? Lazima anakutana nao huko.
Acha makasiriko elewa point yangu, aweke utaratibu wa ibada nyumba maombi pamoja na mausia ya kidini hapo ataweza malezi bora nje ya hapo hakuna atakayeweza kutoboa malezi bora katika kizazi hiki cha leo na kinachokuja.Mdake
PUMBAV WARU WAPO SERIOUS UNATUAMBIA MAOMBI AYA SASA JIFUNGIE CHUMBANI UKAE UKIOMBA CHAKULA KIJE