Dawa ni kumpenda na afahamu kuwa unampenda kisha angalia mrejesho kutoka kwake,Mkeo akiwa mzuri mawazo kama hayo unaweza kupata hasa kama Muda mrefu unatumia kaziniMhimu ni kuzungumza nae mkuu. Wengine huona ya kawaida lakini ni vema kuyaweka wazi na mkajadili kwa pamoja ili yaishe au kupungua. Mama wakwe wengine wanakera si kidogo na ndugu wengine wa mke. Wakati mwingine huweza hata kuchangia ndoa kuvunjika. Utoaji wa taarifa zisizo rasmi kutoka ukweni kupitia kwa mkeo kuja kwako. Zungumzeni ili muweze kubalance mambo vizuri. Ucheshi na aina ya mavazi ni mambo yanayozungumzika sana. Labda kakulia uswahilini,,ahahaha
Na hawara yakeSijaona la maana labda umemchoka tu. Kuzoeana sana na mama yake, sasa shida iko wapi mkuu ulitaka azoeane na nani, bibi yake au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ulivyofukuzwa Eden wewe ndo ulitumwa ukalime sa inakuaje tena hapa......
ulikurupuka broh kwaiy ulitaka amzoee nani au unatka kula kuku na mayaiNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Au nakosea ndugu zanguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha....Sasa kuvaaa deraa ni tatizoo..sasa ingekuwaa Kama sisi wavaa vimin..suluari na vipensiii...[emoji28][emoji28][emoji28]sijaonaa tatizoo