bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Labda bouncer ndiyo atamfaa.Daaaaah, yaani sababu za kipumbavu pumbavuuuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda bouncer ndiyo atamfaa.Daaaaah, yaani sababu za kipumbavu pumbavuuuuuuuuuuu
Daah basi ningekupa huyu nilienae basi ungekufa mapema,..vumilia ndugu kunamahali unaweza ukamuacha huyo ukapata kituko ambacho utajuta zaidi.hayo mapungufu yakawaida kabisaNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Anataka kumfanya mtoto wa watu kama ng'ombe Maksai...Vitu vyote anavyofanya yeye,mwenzake anavipenda?Mkuu unataka mpiga jembe ahahahah!!
Mimi naona umemchoka tu. Hayo ni mambo madogomadogo sana kwenye ndoa.
Na marufuku kumuacha!
Kiongozi, hiko kichwa kina ubongo unaofanya kazi? Kuwa mwanaume hakukufanyi uwe kichwa tu kwenye familia....Kuna vichwa vingi vya familia, familia haina chakula, ada za shule zinahitajika; baba pesa yote amemaliza baa.On serious note,
Yote uliyoelezea nmegundua
Mkeo ana tatizo la ujuaji mwingi.
Yaan she's is too much know,
Na hili Ni janga sana pale baba unapotaka kusimama fully Kama Kichwa Cha familia.
Cha kufanya,
Tumia "martial law" atarudi mstarini[emoji41]
Ushauri wangu ni utafute sound recorder iweke irekodi hiyo sauti ukiwa usingizini tena ukiwa unaiuliza hiyo sauti sababu za kukuambia hivyo. Ukiamka sikiliza conversions zenu utapata ukweliNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
labda haumpendi au ulikua naye kwa shinikizo ... changamoto hazikosekani bro na hasa mapungufu ya wenza wetu tukishayatambua inatupasa kutambua namna ya kuyakubali ...Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Nikiwaaa homee tuu napendaa kuvaaaa hivyoooo...Ha ha ha....
Madam hicho kipensi unakibaliaga wapi?[emoji4]
Una jini mahaba. OmbewaNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Me navyoona huyo ulonae unampotezea muda na utapata mwingine itakua vivohivyo, yani kama uwez kutunza mapungufu ya mwenzio na kuyafurahia mazuri yake ww shimo lako ni wale wadada wa buku buku basi.Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
AhsanteUtampata wapi asie na mapungufu? Kwa wastani kila binadamu ana angalau tatizo moja sasa hapo wewe mkeo na mtoto jua tayari una matatizo 3 ya kusolve, kuwa kichwa cha familia sio mchezo
Ukweli najivuta sana, huo ndo ukweliMkuu kabla sijatoa ushaur wangu,naomba uwe mkweli juu ya hili ninalotaka kujua,litanidhibitishia kile ambacho naona ni tatizo
Huwa unajisikia kusex nae au kama unajilazimisha?
Oh, kumbe!Sauti ya shetani hiyo