Naombeni ushauri nini nisome kulingana na matokeo haya

Kasome diploma ya clinical officer,Nursing,Pharmacy,Lab Technician,hizi fani huwezi kukosa KAZI Mtaani kuna Dispensary kibao binafsi,Mashirika Kama MDH,ICAP, RED CROSS ukichangamka na Diploma yako unakula maisha nje ya serikali hizo Dispensary ni za kujishkiza tu KWA kuanzia ila hayo Mashirika ndio kuna lifa hapo,pia utakuwa unatega na ajira za serikali.
Au Ualimu,IT kwa ulimwengu wa sasa Tehama ni msingi wa karibu mambo yote lakini unaweza kusota sana mpaka kutoboa kikubwa kujituma.
 
#nashukuru sana kwa ushauri wako.
 
Somea fani unayopenda usitake ushauri utapotezwa maboya.. fata ndoto zako

Labda ungeorodhesha fani kadhaa unazopenda ili tushaur ipi inafaa zaidi
 
Umeshauri vema sana, nyakati hizi kuwa na basic skills ni muhimu sana mfano driving na kupata leseni, nilimshauri kuhusu kozi za madini kwasababu sio tu soko lina uhitaji wa wataalamu lakini pia anaweza jiajiri kupitia small scale mining kama mchimbaji mdogo, mkemia, n.k
 
Soma kitu ambacho kitaa kinabamba,
Kwa ufaulu wako unaweza kusoma course yoyote ya engineering au afya.
Kasome Electrical with automation arusha tech,
Electronics and telecommunication/ Electrical and electronics St joseph,Dit, must au almaktoum college.
 
#kozi ulizo orodhesha apo ambazo zinapatikana kwenye tech ajira zake zipo kweli??
 
Somea fani unayopenda usitake ushauri utapotezwa maboya.. fata ndoto zako

Labda ungeorodhesha fani kadhaa unazopenda ili tushaur ipi inafaa zaidi
#kwa kozi za afya
1; clinical officer
2; nursing
3; radiologist
Kwa kozi za ufundi
1; electrical engineering
 
Advance PCM au PCB chuo udaktari au kozi za biashara full stop...huna hadhi ya kuanzia certificate matokeo yako ni Hadhi ya Advance wenye d nne ndo wahangaike na Certificate maana mfumo wa advance umewatema, usijishushie Hadhi mzee.
 
#tatizo umri wangu naona umenipiga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…