Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daadeq, watu wabaya sana
 
Cross roads.
Usikilize Moto wako.
Kwa manufaa ya watoto wako kama umri wao chini ya miaka 14 usimuache huyo mwanamke labda unaweza kumtenga kwenye tendo la ndoa endapo unaogopa kukuletea maradhi.
 
Kwa kweli duniani wanaume tunatofautiana sana, yaani mwanamke akalete mimba nje na unajuwa na yeye kakiri bado unamuita mke wangu? ile kutoka tu nje ya ndoa mbaya ngumu kumvumilia lakini mpaka anabeba mimba na anailea mimba kazaa huyo alidhamiria na kisha fanya sana umalaya kashindwa hata kuzuia mimba. Huyo ni malaya kama malaya wa Sinza tu. Hafai kuitwa mke hata kama amekuzalia watoto 10. MALAYA
 
Ushauri wa busara sana huu
 
usimuache oa mke wa pili wa kukutuliza maumivu
 
Sasa keshaomba umsamehe unataka Usha gani tena? Lea huyo mtoto halafu mpeleke kwao kisha safiri tena ukirudi unakuta mimba nyingine unalea mtoto kisha unapeleka kwa baba yake maana alishaomba msamaha.
 
Serikali inabidi ianzishe mitaala ya ndoa mashuleni,kuanzia SEKONDARI wawe wanasoma tabia za wanawake na wanaume,mazuri na mabaya Yao watu waanze kujuwa mapema.Pole ndugu mke wako kakubali amwagiwe mvuwa
 
Serikali inabidi ianzishe mitaala ya ndoa mashuleni,kuanzia SEKONDARI wawe wanasoma tabia za wanawake na wanaume,mazuri na mabaya Yao watu waanze kujuwa mapema.Pole ndugu mke wako kakubali amwagiwe mvuwa na mkulima mwingine.
 
Mkiona wanawake hawanywi pombe hawavai bikini wala hawavai vimini mnawaona washamba. Pambana na hali yako
 
Ushauri bora kabisa ila tu ajifunze kuachilia na ikibidi wote wakapate ushauri nasaha. Aachilie kabisa kabisa na asamehe moja kwa moja akiamua kubaki na huyo malaya. Akibaki na makovu moyoni basi atakufa kwa msongo wa mawazo na hasira.

Hili ni mojawapo ya makosa yasiyosameheka na ni wanaume wachache wanaoweza kuvumilia. Asamehe moja kwa moja kabisa kabisa la kama hawezi basi avunje hiyo ndoa.

Na asije akasikiliza maneno ya feminists watakaokuja hapa kuanzisha ligi za kinadharia kujilinganisha eti oooh mbona wanaume huwa mnazaa nje ya ndoa. Hilo halitamsaidia sana hasa kama alikuwa mwaminifu kwa mkewe kwa asilimia 100%

Mungu na Amsaidie; na kwa lo lote atakaloamua basi atangulize maslahi ya hao malaika wasio na hatia waliojaliwa na Mungu πŸ™πŸΏ

Pia asisahau kupima DNA hao watoto wengine waliobaki ili kujihakikishia kama ni wake kweli ama la!
 
Hiyo ngumu kumeza
 
Usikute hata hao watatu sio wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…