Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Thanks sir kwa ushauri wako, siwezi lifikisha kwa wazazi watanitoa roho maana ni marufuku kupeleka single mom nyumbani eti ndio mchumba kwa sheria za wazazi wangu
 
Mkikua mtaacha
 
Yani wewe muomba ushauri, ndio umeanza tena kutushauri? Tena kwenye sekta ambayo mwenyewe umekiri kua huwa umezubaa?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kati ya zawadi nzuri na kubwa unayoweza kuwapa wanao, basi ni kuwafanya wawe na Mama mmoja.

Kuwa na watoto wenye wazazi tofauti tofauti, inaleta usumbufu sana mbeleni. Zingatia ilo mkuu.

I'm out.
 
Thanks sir kwa ushauri wako, siwezi lifikisha kwa wazazi watanitoa roho maana ni marufuku kupeleka single mom nyumbani eti ndio mchumba kwa sheria za wazazi wangu
Sasa kumbe unajua misingi ya familia yako basi ishi humo.... Tunakuwa watumwa kwa kukiuka miiko ya familia zetu mkuu ukizaa nae tu alafu familia ikajua basi unaweza haribu mambo mengi kula nyama ila swala la mimba sjui akuzalie achana nalo.
 
Kati ya zawadi nzuri na kubwa unayoweza kuwapa wanao, basi ni kuwafanya wawe na Mama mmoja.

Kuwa na watoto wenye wazazi tofauti tofauti, inaleta usumbufu sana mbeleni. Zingatia ilo mkuu.

I'm out.
Ahsante kwa ushauri mkuu nitazingatia
 
Sasa kumbe unajua misingi ya familia yako basi ishi humo.... Tunakuwa watumwa kwa kukiuka miiko ya familia zetu mkuu ukizaa nae tu alafu familia ikajua basi unaweza haribu mambo mengi kula nyama ila swala la mimba sjui akuzalie achana nalo.
Ok nitafanya hivo shida sex kasema atakaua ananipa kwenye danger days tuu
 
Kati ya zawadi nzuri na kubwa unayoweza kuwapa wanao, basi ni kuwafanya wawe na Mama mmoja.

Kuwa na watoto wenye wazazi tofauti tofauti, inaleta usumbufu sana mbeleni. Zingatia ilo mkuu.

I'm out.
Ushauri mzuri sana Huu
 
Aliyeandika huu ni ile ID ya Da'Vinci ya kila siku au kuna mtu kachukua simu yake?

Anyway ukisoma uzi kwa akili ya kawaida tu, inaonesha mwamba ushaelekea kibra...

1. Nikukumbushe tu, kumbuka kupima vipimo vikubwa kabla hujadinyana...

2. Kiumbe au viumbe wataozaliwa watakuwa wa kwenu nyote, mwanaume si jogoo la kuazima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…