Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Dah uko njema sana aise unaandika mada za kiutu uzima sana kwa maana ya kwamba zimeshiba na educative sanaBaraka tu za Mungu mkuu, nilipevuka akili kabla ya umri wangu. Mada zangu nyingi nimeandika nikiwa kati ya 18yrs - 23yrs
Dash kumbe una mapoint hivi? HongeraWewe unamahusiano ? Au umeoa? Kwa maana mwamamke wa hivi ataharibu uhusiano wako naumoendaye ni mtego anataka kukuharibia ila kama haupo na mtu kubali kwa mkataba maalum wa kisheria usije kuharibiwa full.
Usithubutu kuzaa na mwanamke usiyempenda kama mke mtarajiwa, hii itakuharibia future yako.2000 afu nipo jf toka 2014. Mbegu zipo hazina kazi
Bora umetusanuaUnajitumia meseji unajijibu mwenyewe stop this madness
amini ukweli,Mkuu unanitisha sasa [emoji3]
kweliMimi nilikuwa siogopi ukimwi japo sipendi condoms ila nilikuwa siuzi mechi hovyo japo kuna baadhi niliuza.
kitu nilichokuwa naogopa ni hicho unachaka kufanya, rafu zote nilizocheza mbususu zote nilizotafuna nilikuwa siogopi ukimwi ila nilikuwa naogopa kuzaa na mwanamke ambae sitamuoa, napenda watoto wangu wapate malezi ya baba na mama tena tuishi familia moja. Taabu ya kulea mtoto ambae hukai nae sikutaa huo usumbufu.
Nashukuru mungu sasa nina mke na watoto wawili sina mtoto wa nje,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora umetusanua
Tulia mdogo wangu acha pupa. Kila jambo na wakati wake. Usikubali huo mtego unaotegewa. Kwanini usambaze mbegu zako bila mpangilio. Achana na huyo dada.2000 afu nipo jf toka 2014. Mbegu zipo hazina kazi
Ahsante sana mkuu sema kwa upande wangu hua nachukulia kama adhabu kwa uwezo wa kutafakari vitu vilivyo nje ya umri wangu. Why???Dah uko njema sana aise unaandika mada za kiutu uzima sana kwa maana ya kwamba zimeshiba na educative sana
Amini upendavyo sir but hua sidanganyi unless id yangu umeanza kuisoma leoChai hiii kabisa.....ulipozingua Ni hapo mwishoni, unaomba ushauri then Bado unatamani kuwa nae, Kama sio undezi wa kimpenzi Ni Nini Sasa..........hata ww mkuu hii inasikitisha sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
🤔🤔🤔Thoughtful. Nilitaman maishani mwangu watoto wote wazaliwe ndani ya ndoa ya RC. Thank you sir for this piece of adviceTulia mdogo wangu acha pupa. Kila jambo na wakati wake. Usikubali huo mtego unaotegewa. Kwanini usambaze mbegu zako bila mpangilio. Achana na huyo dada.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app