Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nayo ni kilevi you are too young kujihusisha na kataa ndoa. Sasa unapiga vita ndoa wakati bado ni tegemezi unafanya mambo makubwa kuliko uwezo wako yatakuchosha akili mwananguHiyo ni nje ya mada[emoji23]
Hapa umezingua sanaHuo ndyo muda sahihi wa kutumia hvyo vitu
Kunywa pombe sana
Vuta bangi
Tafuna mirungi
Nyeto kwa sana
View attachment 2605997
Og kutoka chuga
Ushauri wangu acha kabisaaa Kwa faida Yako, Tena ikiwezekana badirisha hata marafiki, utakuwa unaongea nao,mnawasiliana lkn Kuna vitu weka mipaka sio lzm kutoka woteUsicheke ni serious[emoji23]
Lakini naona majirani wanavoteseka na ndoa[emoji23]Nayo ni kilevi you are too young kujihusisha na kataa ndoa. Sasa unapiga vita ndoa wakati bado ni tegemezi unafanya mambo makubwa kuliko uwezo wako yatakuchosha akili mwanangu
Mpeni mwamba mshamba_hachekwi maua yake🤣😂 acha tu nicheke ila apewe maua yake ana kitu atafika mbali akivishinda vishawishi
Huyu dogo anazingua hivyo kumbeNaomba mmshauri aachane na KATAA NDOA GANG pia
Huwa umenyooka sanaUshauri wangu acha kabisaaa Kwa faida Yako, Tena ikiwezekana badirisha hata marafiki, utakuwa unaongea nao,mnawasiliana lkn Kuna vitu weka mipaka sio lzm kutoka wote
[emoji23][emoji23]sijawahi vita bangi.... Hilo nimejitahidi SANA...Huyu dogo anazingua hivyo kumbe
Mabangi hayo, ndio shida
Pole sana katoto[emoji23] simamia msimamo wako bila kuyumbishwa na watu wasio na malengo, pia unatakiwa kuachana na kampani mbovu, tafuta shughuli halali itakayokufanya uwe busy.Usicheke ni serious[emoji23]
19 ni katoto[emoji88]Pole sana katoto[emoji23] simamia msimamo wako bila kuyumbishwa na watu wasio na malengo, pia unatakiwa kuachana na kampani mbovu, tafuta shughuli halali itakayokufanya uwe busy.
Sasa hujavuta lakini kichwa ni bangi kiasi hiki ukivuta itakuaje?[emoji23][emoji23]sijawahi vita bangi.... Hilo nimejitahidi SANA...
Nakwepa mishale mingi[emoji23]Mpeni mwamba mshamba_hachekwi maua yake[emoji1787]
Bangi kivipi??[emoji23]Sasa hujavuta lakini kichwa ni bangi kiasi hiki ukivuta itakuaje?
We mtoto wa miaka 19 unajua nini kuhusu ndoa😂[emoji23][emoji23]sijawahi vita bangi.... Hilo nimejitahidi SANA...
Uzuri kijana ana miaka 19 yrs lakini ana Huwezo mkubwa wa kuwasilisha hoja zake na kueleweka kuliko matured man wengi Kama akina Chizi MaarifaNapendekeza ID zetu ziwekwe label..
Mfano under 18
20-30
31-40
Tujuane umri. Hili ni balaa
Wadogo zetu hawa tuwaambie tu ukweli hakuna namna,huko tunakoenda ni kubaya zaidiHuwa
Huwa umenyooka sana
Ole wako uje tena na ule usemi wako wa Kataa ndoa, tunza kibundaUsicheke ni serious[emoji23]
Mwakani namaliza chuo wewe[emoji23]We mtoto wa miaka 19 unajua nini kuhusu ndoa[emoji23]
Em acha hizo bana, kazana kwenye masomo.
Mwakani form 4, hatutaki zero hapa
Siwezi acha[emoji23]Ole wako uje tena na ule usemi wako wa Kataa ndoa, tunza kibunda
Tutakuulia hapoo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]na watu bila kujua dogo ni nguvu ya mibangi wanaunga mkono hoja[emoji23][emoji23]Huyu dogo anazingua hivyo kumbe
Mabangi hayo, ndio shida