Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

Waliongea kwa lugha za picha.
Badala ya kutamka mpeni jamaa maua...na ukasifiwa...wakaamua kukupa maua kama ishara au kuashiria tu unachostahili...sifa
Aisee now I know sikua najua naona napewa maua tu, so kupewa maua inamaanisha kupewa sifa zako ? Kwa hio nipeni maua yangu maana yake nipeni sifa zangu, sijakosea ?
 
Nimefurahi kuona positive comments kwa dogo safi sana cha muhimu shikilia msimamo wako hayo maneno ya marafiki yasikushughulishe hata kidogo. Ukiharibikiwa inakua ni juu yako
 
Usinywe pombe au kuvuta bangi kisa watu wanaokuzunguka utaharibikiwa kuliko wao. Mie mwenyewe mchaga ila sinywi pombe na ma group hayajawahigi kunishawishi just be you. Pia hivi ni lazima uende kwenye ma club?
 
Wewe mchaga wa wapi cariha Huwa tunasema mchaga akifanikiwa kuacha pombe pekee yatosha kusema ameokoka😂😂😂
Gily
 
Back
Top Bottom