Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)

Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini

Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)

Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni

Usisahau kufukia vizuri shimo

I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini

Ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
We sijui ME au KE ila una roho mbaya na umenichekesha ushauri wako. Yaani umemshauri hivyo baada ya kuona jamaa kaandika upuuzi wa hali ya juu. Nimecheka sana.
 
Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Duh,
Una umri gani?
Hilo swali linakutia hasira sana kivipi?!!!
Nia ya babaako ni njema tu, alitaka kujua kama mwanaye una tatizo akusaidie
 
Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
Usishindane jomba langu, kikubwa muone daktari mke apatiwe dawa mixer ushauri ila swala la msingi ni kupeleka moto kila saa, ukija home shughuli iwe ni moja, we mwenyewe umeanza kila mzigo juzi hata mwaka haujaisha, watu wengine tulipeka moto kama miaka 2 hivi ndo mzigo ikakamata. Pambana kijana wangu game bado mbichi hata dakika 20 za kipindi cha kwanza hujamaliza. Kaza bamdo! acha maneno mengi
 
Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)

Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini

Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)

Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni

Usisahau kufukia vizuri shimo

I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini

Ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mmh
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Duuh hadi hapo wazazi hawana kiumbe na mke hana mume, umeona kibwengo kilichotoa mimba lukuki na kibwengo ambacho kilikuwa kinatumia mpango wa uzazi masindano na hujui , suluhisho na kuachana na huyo kiumbe umeoa malaya, acha kuendekeza ufala na ubazazi
 
Ndoa ya miezi kadhaa, tayari ushaanza kulalamika mkeo hapati mimba. Humu ndani vituko haviishi naona.
 
"Au nimtie mimba mtoto wa watu ndo akili iwakae sawa" 😀😀😀😀
Kweli we ni mvulana sina uhakika kama hata umri wa kubalehe umefika kwahyo ni mke wako alafu unauliza maswali ya ajabu namna hii unajiuliza au umpe mimba kwahyo unataka kusema kwenye ndo mliingia akusaidie kufanya hio project unayotumia kama kinga ya kukwepa majukumu ya ndoa? au baba yako yuko sahihi dude halifanyi kazi?

mpe miti mtoto wa watu rahasivyo uchague uwe busy na project nae awe busy na kuliwa na wana hapo utasaidia sana ukijitia ujeuri wa project kijana

Me naenda
 
Back
Top Bottom