Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Mtoa mada kuna jambo anaficha! Binti amwage mfululizo hlf tena akashtaki kwa wazazi! Mbona haiingii akilini
Unacheza na women wewe! Hapo anataka awe anamuona jamaa kama pambo ilhali mzigo hampi.
 
Hv huyo ndo umlete ni-debate nae kwel apana mda mwingine kataa ndoa tujibiwe na watu ambao kichwani pako vzr..... vijana wengi wanaoingia kwenye ndoa siku hz kichwani wana........ ngoja niangalie Kuna notification hapa takuja kumalizia kuandika
 
Miezi miwili? Mimi aliniambia sijui ana mabonge sijui uvimbe kwenye mirija ya uzazi na hedhi yake ni siku 31/34 na akiingia hedhi yanatoka mabonge ya damu, miezi mitatu mingi nilipita hivi
Mimi mpenzi wangu kwa wiki ya siku saba, tano kati ya hizo anaumwa. Mara jino linauma shavu limevimba, mara hedhi inauma, mara pressure, mara kichwa. Nikaona hapa nikiendelea nae nakuwa daktari bila kusomea nikala kona.

Unakuwa na mpenzi unamtakia neno pole mara nyingi kuliko neno nakupenda. Unakuwa muuguzi badala ya boyfriend
 
Mtoa mada kuna jambo anaficha! Binti amwage mfululizo hlf tena akashtaki kwa wazazi! Mbona haiingii akilini
Jamaa ana shida ila sababu ni mpuuzi anasingizia yuko busy na project.
Binti anayejua ana shida anaongea na wazazi wake kwa siri wanatafuta dawa hata mume hujui, wanahangaika kutibu. Ikitokea wakajihakikishia hana shida ndio wanakutazama mwanaume.

Sasa hili liko na projects mpaka babake kaambiwa naye kwa uzoefu wake akajua kuna shida ila hawezi kuja direct na kukwambia ukweli. Inabidi azuge kama haelewi hivi, jamaa kakasirika kuambiwa.
Yuko busy na projects bwana hospitali hana muda wa kwenda
 
Maisha ya ndoa ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye mahusiano yako hadi ukabaki unashangaa.

Kwa upande wa wanaume nadhani hii inawatokea sana utasikia kabisa mtu anasema "Aisee mimi niko bize sana.

Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache marafiki wakuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi...
 
Kosa la kwanza ni kuweka third part kwenye kusuluhisha mambo yenu wawili..

Hii ndoa haina muda mrefu…
 
Nalima, Napanda ila sioni dalili ya mazao. Hili ndio tatizo mpaka nakata tamaa
Hiv huwa mnatiana sababu ya mimba tu?? Na kipnd hiki cha barid halaf aumpi stareh ya ndoa mwenzako unamtesa mno!! Kuwa na tatzo la uzazi inabd asaidike mwende hosptal ila haizuii kutiana nae sbabu hio nistarehe yenu ya ndoa au ulwaza kumtia sbabu ya mimba tu akpata mimba humtii tena
 
Tatizo lako humpelekei Moto huyo mke.
Kumbuke mwanamke akiolewa anategemea atato**wa. Sasa wewe himto***I ndio shida.
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Mke ulipewa au ulimchukua?
 
We jamaa unazingua sana kinachomkera mkeo mpaka anafika hatua ya kupiga simu kwenu ni wewe haiwezekani mwenzio ana shida ya kiuzazi alafu unajifanya upo bize na maproject yako unashindwa hata kumpeleka hospital kupata tiba ili mutafute mnachotafuta badala yake upo bize acha hizo aisee chukua muda mpeleke apate tiba mkeo pia mpelekee moto aswaaa uone kama mashtaka yataendelea au lah
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Ushauri wangu nipe Kwanza namba ya Simu ya Mkeo niwasiliane nae huku Wewe ukiendelea Kuwasiliana na Baba na Mawasiliano yangu na Mkeo yakifana na kwa Tiba Kuu ambayo nitampa naamini atatulia na mtaanza Kuishi vyema kabisa.
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Una umri wa miaka mingapi?
Huna hata Mwaka ndoa imeshaanza migogoro?

Ukweli ni kuwa kitendo cha Kubleed kila mara ndio kimekukosesha hamu naye na ndio maana uko bize.
 
Back
Top Bottom