Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Dah mkuu kwanza umesema we bado yanki, Then still ndo ina muda mfupi sana ila tayari mshaanza migogoro oya weeh mkifika boxing day mmojitahidi sana
Hedhi miezi miwili mfululizo Mzee wangu wewe pia lazima ukate Moto, uwe busy na Mambo mengine
 
Sasa kijana mdogo kwenye ndoa umefata nini?

Acha uvivu kusingizia kazi! Mpe mtoto wa watu mitiii
Ampe miti vipi unataka ailoweshe damu au? Amekwambia miezi miwili mfululizo damu zinamwagika
 
Nimejitahidi sana mpaka nahisi kukata tamaa. Na nahisi mke wangu ana tatizo
Ndoa haina hata nwaka umeshanza kuhisi mwezako ana tatizo usianze kujipa mawazo mabaya bado mapema sana just relax mjitahidi kusolve hizo shida za mkeo kwanza huku mkitafuta mtoto
 
Ndoa haina hata nwaka umeshanza kuhisi mwezako ana tatizo usianze kujipa mawazo mabaya bado mapema sana just relax mjitahidi kusolve hizo shida za mkeo kwanza huku mkitafuta mtoto
Ana tatizo la kumwaga damu miezi miwili mfululizo, hujasoma au?
 
Punguza makasirikp kijana umeleta ushauriwe mtafute solution sasa ya hiyo bleed ya miezi 2 maana sio normal
Miezi miwili? Mimi aliniambia sijui ana mabonge sijui uvimbe kwenye mirija ya uzazi na hedhi yake ni siku 31/34 na akiingia hedhi yanatoka mabonge ya damu, miezi mitatu mingi nilipita hivi
 
Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
Dogo kumbe ushaanza kujilinganisha na wenzio ,hilo ndio kosa kubwa . Mkeo anatatizo kama ulivo eleza kwaiyo ndio wakati ambao anahitaji faraja yako kupita kiasi ,kasemelea nyumban kwasabu tayar ameisha ona vidharau Vya apa na pale . Ebu tuliza akili msaidie mwenzio kuondokana na tatizo husika
 
Haya ndio madhara ya kuoa kwa kuonea mtu huruma akipata watoto huyo anawakumbatia mwenyewe na kukupaka kwao kua mnamuona baba yenu mshenzi sana kazi ya kulala na wanawake wengine tu,
 
Aiseee kumbe marriage is this complicated na hamsemi...
 
Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)

Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini

Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)

Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni

Usisahau kufukia vizuri shimo

I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini

Ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Umevuta ya wapi Abby ?
 
20221025_190024.jpg
 
Huu muda ulioutumia kuandika upupu, si ungekua unampeti peti mkeo, mnatekenyana na kunyanduana mtafute kababy..... au alichohoji mzee ni kweli [emoji849]
Kama navyosubili kunyanduana na wewe

Nb napenda trakoo
 
Tafuta vijana watano wachimbe shimo refu lenye urefu wa mtu mzima(eneo liwe porini)

Mdanganye mkeo kuwa unatamani ukakate kuni na yeye porini

Mkifika porini mpeleke pale kwenye shimbo(huku ukishangaa Nani kachimba shimbo porini)

Akizubaa msukume fasta kuelekea shimoni

Usisahau kufukia vizuri shimo

I swear hutamaliza Kila kitu na utaishi kwa amini

Ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ndio maana ndumu zinapigwa marufuku,
 
Back
Top Bottom