Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

Vipi kaka tuweke wazi kama mari inatoa harufu mbovu tumpe tiba shemeji,maana Kitu ambacho mwanaume hawezi kukivumilia kwa hari yoyote ni hiyo kitu[emoji3]
Samaki wabichi waliokaa mda mrefu wakachacha wakaoza,
 
Analigusa baba yao pekee.... wanangu watagusaje tako langu wewe ni kichaa?
Na wajomba au maanko vipi hawaligusi? Jr ngoja usiguse tako hili tako ataligusa anko sawa Jr kanywe juice ile ya embe kwanza,
 
Huu muda ulioutumia kuandika upupu, si ungekua unampeti peti mkeo, mnatekenyana na kunyanduana mtafute kababy..... au alichohoji mzee ni kweli [emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah itakua kwelii
 
Wakuu, Shkaamooni. Mimi ni kijana mdogo ambae niko kwenye ndoa tayari. Ndoa yangu ina miezi kadhaa tu, haijafikisha hata mwaka mmoja.

Wiki kadhaa nyuma tulikuwa tukipishana sana na mke wangu sababu ya mimi kuwa busy sana mpaka mida ya usiku mimi nipo busy na kazi.

Hii ikapelekea mimi na mke wangu tugombane mpaka malalamiko kufikia kwa wazazi.

Malalamiko ya mke wangu kwa wazazi wangu ni juu ya ubusy wangu na kupelekea kukosa muda na mke wangu, na mimi nikajitetea kwamba nina project zinazonibana sana nikashindwa hata kuwaza mambo mengine tofauti na project inayonikabili.

Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.

Jambo la kwanza ni kuhusu hali ya mwenza wangu kuwa na matatizo ya hedhi, hili tatizo alikuwa nalo muda mrefu sana na mpaka wazazi wake waliwahi mwambia kuwa anaweza pata shida kwenye kutafuta mtoto. (hili aliniweka wazi baada ya kubleed kwa miezi miwili mfululizo).

Jambo la pili ni ubora wa shughuli. Yaani sipati kile nilichokitarajia.. ila hii sio tatizo kubwa kwangu as long as tabia zake zinaniridhisha.

Sasa mpaka naandika uzi huu.. Mzee(Baba yangu) aliniuliza swali ambalo limenipa hasira na kuniweka na mawazo sana. Ameniuliza kama nina tatizo la mwili nimwambie nisimfiche ( yaani kama sina nguvu za kiume nisifiche ).

Hili swali limenikwaza sana na limenipa hasira mpaka napatwa na mawazo ya kishetani. Najisemea au nikamtie mtoto wa mtu mimba ndo akili iwakae sawa hawa mana naona kama dharau hivi.

Naombeni ushauri nifanyeje kwenye hii situation?
Je ingekuwa wewe ungefanyaje au kama uliwahi pitia je ulikabiliana nalo vipi?
Yaani Baba yako(Msiri wako) akuulize swali la msingi kabisa halafu ukasirike. Ama hakika haya ni matumizi mabaya ya hasira
 
Hapo swala ni mti ngozi Mzee wangu,, kama mkeo anashida basi waonyeshe ndugu zako Kwa vitendo kwamba mke wako anashida za uzazi, kama anableed muda mrefu muonbe mlango wa pili ( Kwa utani lkn ukiwa kama unamaanisha kupitia Hilo yeye ataenda kulalamika Kwa ndugu zake au kwenu hrf hapohapo unawaambia kweli kuhusu changamoto za mkeo, Ila kama wewe ndio mwenye shida jipange uwapate mangaliba
Ushauri wa hovyoo huu.
 
Vipi kaka tuweke wazi kama mari inatoa harufu mbovu tumpe tiba shemeji,maana Kitu ambacho mwanaume hawezi kukivumilia kwa hari yoyote ni hiyo kitu[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu
 
Nilitoa sababu hio japokuwa ndani ya nafsi yangu kuna malalamiko mengine ambayo nimeamua kufa nayo kiume siku hiyo.
Pole aisee, jaribu kutafuta suluhisho la matatizo ya kiafya ya mkeo.
 
Huu muda ulioutumia kuandika upupu, si ungekua unampeti peti mkeo, mnatekenyana na kunyanduana mtafute kababy..... au alichohoji mzee ni kweli [emoji849]
Watanyanduana vipi ilhali mwenza anaenda bleed takribani siku 60!
 
Back
Top Bottom