Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

We sijui ME au KE ila una roho mbaya na umenichekesha ushauri wako. Yaani umemshauri hivyo baada ya kuona jamaa kaandika upuuzi wa hali ya juu. Nimecheka sana.
 
Duh,
Una umri gani?
Hilo swali linakutia hasira sana kivipi?!!!
Nia ya babaako ni njema tu, alitaka kujua kama mwanaye una tatizo akusaidie
 
Moto nishapeleka sana. Tatizo ni kwamba sioni matunda.. wenzangu niliooa nao sambamba tayari mbegu zishachepua
Usishindane jomba langu, kikubwa muone daktari mke apatiwe dawa mixer ushauri ila swala la msingi ni kupeleka moto kila saa, ukija home shughuli iwe ni moja, we mwenyewe umeanza kila mzigo juzi hata mwaka haujaisha, watu wengine tulipeka moto kama miaka 2 hivi ndo mzigo ikakamata. Pambana kijana wangu game bado mbichi hata dakika 20 za kipindi cha kwanza hujamaliza. Kaza bamdo! acha maneno mengi
 
Mmh
 
Duuh hadi hapo wazazi hawana kiumbe na mke hana mume, umeona kibwengo kilichotoa mimba lukuki na kibwengo ambacho kilikuwa kinatumia mpango wa uzazi masindano na hujui , suluhisho na kuachana na huyo kiumbe umeoa malaya, acha kuendekeza ufala na ubazazi
 
Ndoa ya miezi kadhaa, tayari ushaanza kulalamika mkeo hapati mimba. Humu ndani vituko haviishi naona.
 
"Au nimtie mimba mtoto wa watu ndo akili iwakae sawa" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kweli we ni mvulana sina uhakika kama hata umri wa kubalehe umefika kwahyo ni mke wako alafu unauliza maswali ya ajabu namna hii unajiuliza au umpe mimba kwahyo unataka kusema kwenye ndo mliingia akusaidie kufanya hio project unayotumia kama kinga ya kukwepa majukumu ya ndoa? au baba yako yuko sahihi dude halifanyi kazi?

mpe miti mtoto wa watu rahasivyo uchague uwe busy na project nae awe busy na kuliwa na wana hapo utasaidia sana ukijitia ujeuri wa project kijana

Me naenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…