Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

Daah.

Wanaoweza kumuona ni ma afisa tu aisee.

Ila ujumbe wako kumfikia unaweza fika.
 
Najiuliza sana hivi sisi raia wa Tanzania shida yetu ni ipi? nimeomba utaratibu wa kuonana na Rais Samia lakini hadi muda huu nakatishwa tamaa kuwa haiwezekani.

Ni nani anayetambua hii project proposal ninayo omba imfikie italeta impact chanya kwa kizazi cha sasa na baadaye?

Nimeumia sana, natamani kulisaidia taifa langu pedwa Lakini nafasi na kosa, honestly roho inaniuma sana.

I love you Tanzania
Land of Kilimanjaro and Zanzibar
Kwa Mungu wa taifa langu.
 
Najiuliza sana hivi sisi raia Tanzania shida yetu ni ipi?, nimeomba utaratibu wa kuonana na MH: rais Dr Samia lakini hadi muda huu nakatishwa tamaa kuwa haiwezekani.
Ni nani anae tambua hii project proposal nayo omba imfikie ita leta impact chanya kwa kizazi Cha sasa na badae?

Nimeumia sana, nataman kulisaidia taifa langu pedwa Lakini nafasi na kosa, honestly roho inaniuma sana.

I love you Tanzania
Land of Kilimanjaro and Zanzibar
kwa Mungu wa taifa langu .
[emoji3][emoji3][emoji3] endelea kupambana mkuu
 
Hivi ndio wewe ulotaka kufanya utafiti wa kutikisa dunia!?

Natumae hatimaye ulipata muongozo.

Komaa, utamuona tu ✅
 
Ndio mimi mkuu, lakini mkuu taifa letu linahitaji healing kubwa sana. Naumia sana mkuu
Mimi naungana na wewe katika hii petition

Naomba wahusika huyu bwana professional ethics aonane na Rais

Ningekuwa nishapewa kitengo cha Mshauri wa Rais vijana: fasta ningeshamshauri aweke utaratibu wa vijana wanaotaka kuonana naye waweze kufanya hivyo.

Tatizo ndo bado, ila usijali utamuona tu
 
Wakuu habari za jioni.

Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.

Najua wengi mtanidhihaki Lakini naomba mnipe utaratibu jinsi ya kuonana na Dr. Samia Suluhu Hassan.

Sihitaji middlemen, mana naona watachelewesha kuifanyia kazi project hii.

Ni muhimu Sana document hii aipate, kama si hivyo nipeni mawasilianao ya waziri wa Elimu.

Umejuaje kama project yako ni muhimu.?
 
Najiuliza sana hivi sisi raia wa Tanzania shida yetu ni ipi? nimeomba utaratibu wa kuonana na Rais Samia lakini hadi muda huu nakatishwa tamaa kuwa haiwezekani.

Ni nani anayetambua hii project proposal ninayo omba imfikie italeta impact chanya kwa kizazi cha sasa na baadaye?

Nimeumia sana, natamani kulisaidia taifa langu pedwa Lakini nafasi na kosa, honestly roho inaniuma sana.

I love you Tanzania
Land of Kilimanjaro and Zanzibar
Kwa Mungu wa taifa langu.
Watu wengi wanaosema wanataka kuonana na rais kwa sababu wana jambo muhimu huwa mara nyingi wanakuwa na ugonjwa wa akili. Mtu kama wewe utakuta una makaratasi yaliyoandikwa maandishi ambayo hata hayaeleweki na pengien unajumbe unaotaka kumpelekea ni kuwa umetumwa na mizimu kwenda kumpa ujumbe.
 
Sawa
 
Najiuliza sana hivi sisi raia wa Tanzania shida yetu ni ipi? nimeomba utaratibu wa kuonana na Rais Samia lakini hadi muda huu nakatishwa tamaa kuwa haiwezekani.

Ni nani anayetambua hii project proposal ninayo omba imfikie italeta impact chanya kwa kizazi cha sasa na baadaye?

Nimeumia sana, natamani kulisaidia taifa langu pedwa Lakini nafasi na kosa, honestly roho inaniuma sana.

I love you Tanzania
Land of Kilimanjaro and Zanzibar
Kwa Mungu wa taifa langu.
Hivi hii ndio ile ID nyingine??
 
Back
Top Bottom