Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

Najiuliza sana hivi sisi raia wa Tanzania shida yetu ni ipi? nimeomba utaratibu wa kuonana na Rais Samia lakini hadi muda huu nakatishwa tamaa kuwa haiwezekani.

Ni nani anayetambua hii project proposal ninayo omba imfikie italeta impact chanya kwa kizazi cha sasa na baadaye?

Nimeumia sana, natamani kulisaidia taifa langu pedwa Lakini nafasi na kosa, honestly roho inaniuma sana.

I love you Tanzania
Land of Kilimanjaro and Zanzibar
Kwa Mungu wa taifa langu.
Umeshauriwa kwenye bandiko lako weka mawasiliano yako ili wasaidizi wake wakufikie wakiona inafaa au hata yeye huwezi kujua
 
Najiuliza sana hivi sisi raia wa Tanzania shida yetu ni ipi? nimeomba utaratibu wa kuonana na Rais Samia lakini hadi muda huu nakatishwa tamaa kuwa haiwezekani.

Ni nani anayetambua hii project proposal ninayo omba imfikie italeta impact chanya kwa kizazi cha sasa na baadaye?

Nimeumia sana, natamani kulisaidia taifa langu pedwa Lakini nafasi na kosa, honestly roho inaniuma sana.

I love you Tanzania
Land of Kilimanjaro and Zanzibar
Kwa Mungu wa taifa langu.
Kwamba umeweka hapo Tz na Zanzibar ili uchekiwe fasta kwa kuwa mama ni Mzanzibery wabongo bana
 
Wakuu habari za jioni.

Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.

Najua wengi mtanidhihaki Lakini naomba mnipe utaratibu jinsi ya kuonana na Dr. Samia Suluhu Hassan.

Sihitaji middlemen, mana naona watachelewesha kuifanyia kazi project hii.

Ni muhimu Sana document hii aipate, kama si hivyo nipeni mawasilianao ya waziri wa Elimu.
Ungekuwa na akili ungeweka na namba yako ya simu angeweza kukupigia direct. Ni vile huna akili huo mpango wako umefeli kwa sababu ya kukosa maarifa
 
Wakuu habari za jioni.

Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.

Najua wengi mtanidhihaki Lakini naomba mnipe utaratibu jinsi ya kuonana na Dr. Samia Suluhu Hassan.

Sihitaji middlemen, mana naona watachelewesha kuifanyia kazi project hii.

Ni muhimu Sana document hii aipate, kama si hivyo nipeni mawasilianao ya waziri wa Elimu.
Hapo chuoni tafuta Proffessor yeyote wa hicho unataka mkabidhi hiyo proposal akiielewa usihofu itafika ikulu tu na wewe utaitwa

Wanajua wajibu wao vizuri tu
Sababu hata ukipeleka kwa Raisi watairudisha kwa maproffessor waipitie wakijua wewe unasoma hapo
 
Wakuu habari za jioni.

Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.

Najua wengi mtanidhihaki Lakini naomba mnipe utaratibu jinsi ya kuonana na Dr. Samia Suluhu Hassan.

Sihitaji middlemen, mana naona watachelewesha kuifanyia kazi project hii.

Ni muhimu Sana document hii aipate, kama si hivyo nipeni mawasilianao ya waziri wa Elimu.

You said uko mlimani, unajua Mh. Rais hatakiwi kuonana na kila mtu free tu eti sbb una idea fulani, kila mtu ana idea jua hilo, unajua maana ya sababu za kiusalama? Mh. Rais ana wasaidizi wake wengi mno na kawapa dhamana na kawaamnini, wewe from sijui wapi eti unataka kumuona Mh. Rais? Unatutia mashaka sana, kama una idea na hutaki kupeleka kwa Waziri husika wa idea yako, basi kaa nayo, unatia mashaka sana
 
Back
Top Bottom