Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

Umeshauriwa kwenye bandiko lako weka mawasiliano yako ili wasaidizi wake wakufikie wakiona inafaa au hata yeye huwezi kujua
 
Kwamba umeweka hapo Tz na Zanzibar ili uchekiwe fasta kwa kuwa mama ni Mzanzibery wabongo bana
 
Ungekuwa na akili ungeweka na namba yako ya simu angeweza kukupigia direct. Ni vile huna akili huo mpango wako umefeli kwa sababu ya kukosa maarifa
 
Hapo chuoni tafuta Proffessor yeyote wa hicho unataka mkabidhi hiyo proposal akiielewa usihofu itafika ikulu tu na wewe utaitwa

Wanajua wajibu wao vizuri tu
Sababu hata ukipeleka kwa Raisi watairudisha kwa maproffessor waipitie wakijua wewe unasoma hapo
 


You said uko mlimani, unajua Mh. Rais hatakiwi kuonana na kila mtu free tu eti sbb una idea fulani, kila mtu ana idea jua hilo, unajua maana ya sababu za kiusalama? Mh. Rais ana wasaidizi wake wengi mno na kawapa dhamana na kawaamnini, wewe from sijui wapi eti unataka kumuona Mh. Rais? Unatutia mashaka sana, kama una idea na hutaki kupeleka kwa Waziri husika wa idea yako, basi kaa nayo, unatia mashaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…