nampinga kwa kutumia maandiko, mi ni mkristo nikiwa kanisani sipendi kusikia siasa, nataka kusikia neno la mungu/injili, hayo mengine yenye stress tutayafanya mtaani nje ya kanisaameamua kusema madhabahuni. wewe ni nani umpangie pa kusema ukweli utokao kwa Mungu.
Tokalini kiziwi akasikia na alijiita mwenyewe kiziwiBishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Acha uhuni we jamaa angesema Mama kakubaliwa na Mungu?.. Mbona wapo wanaosema kakubaliwa na wao waitwe mashetani? Why double standard ? .....mnataka asifiwe tu?Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo manabii wa kishetani, wakiwemo wahubiri
, wachungaji, mitume, na maaskofu wa hivi vikanisa, wanavyozidi kuibuka na kutuletea tabiri zao za kishetani!.
Miongoni mwa hao waumini, kuna wana CCM, hivyo unapohubiri madhabahuni kuwa Rais Samia amekataliwa na Mungu, lazima useme jinsi ulivyozungumza na Mungu mlizungumza vipi?, kwa sauti, kwa maono, kwa ndoto, etc, na alimpomkaa Samia, alitoa sababu ya kumkataa?.
Iwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P
Nakumbuka kuna siku Gatuso alitembea na CR7 mpaka CR7 ajali machozi....maza watamfletisha daaahWatamtoa roho huyu bibi
Umenifanya nikumbuke kauli hii "Al Muslim Akhu Muslim (Muislam ndugu yake Muislam) mwaka 2005 Msalato girls Domitory Ak, Nilinyimwa maji kwa kauli hiyo 🤣🤣🤣 anyway nilishakusamehe Halimah.Hv wenzetu waislam mbn kama wapo kimya au n mm tu siwasikiii?!🤔 au wanajionea sawa tu kwa yanayoendelea
Tanzania kubwa sana mleta mada unamjua vizuri Askofu Mwanamapinduzi?Ruka juu lala chini umekataliwa
hapo kwa kaisari ilikuwa ni ishu ya ulipaji Kodi. Wayahudu walimuuliza Bwana Yesu (wakimjaribu) kama ni halali kulipa kodi kwa kaisari ama la. Kusema kwa habari ya kiongozi wa nchi kanisa linahusika kwa sababu kiongozi wa nchi ni kiongozi wa watu wote pamoja na kanisa. Siasa inahusika kila mahala.nampinga kwa kutumia maandiko, mi ni mkristo nikiwa kanisani sipendi kusikia siasa, nataka kusikia neno la mungu/injili, hayo mengine yenye stress tutayafanya mtaani nje ya kanisa
- Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu, Mk 12:17
- Kazi ya kanisa ni kuhubiri habari njema, Luka 4;43
Maza wakikaa vibaya atajifunga huyu.Maana huku Polepole,kwingine unasikia Gwajima,gafla huyu nae kaingia sijui sub ya nani dah! Maza atakuja kufanya yale ya beki la gharama kubwa la Man U muda si mrefuNakumbuka kuna siku Gatuso alitembea na CR7 mpaka CR7 ajali machozi....maza watamfletisha daaah
hata kama mchungaji yuko sahihi, lakini kanisani si sehemu sahihi ya kuhemuka kisiasa, kanisa ni mchanganyiko wa waumini wenye itikadi tofauti, mchungaji aheshimu itikadi tofauti za kisiasa za waumini wake, kama huwezi kunielewa nachomaanisha wewe ni typical Psychopath & EgocentricTokalini kiziwi akasikia na alijiita mwenyewe kiziwi
usirudie kupotosha watu
umewakosea sana senene bora ungesema ngiriKuna yule mchungaji mwenye Meno kama Senene uenda akapendekeza kanisa huyu mchungaji Lilongwe.
Angesema mama anaupiga mwingi ndio angekuwa anahubiria wenye akili eehHuyu anahubiria wajinga. Na ni haki yake kuwadanganya wajinga!
maana ya mpe kaisari yaliyo ya kaisari, ina maana pana zana na imefafanuliwa kwa undani zaidi kama unaweza isoma biblia, kila verse inaku-direct kwenye verse nyingine kwa uchambuzi zaidihapo kwa kaisari ilikuwa ni ishu ya ulipaji Kodi. Wayahudu walimuuliza Bwana Yesu (wakimjaribu) kama ni halali kulipa kodi kwa kaisari ama la. Kusema kwa habari ya kiongozi wa nchi kanisa linahusika kwa sababu kiongozi wa nchi ni kiongozi wa watu wote pamoja na kanisa. Siasa inahusika kila mahala.
kusema huyu amekataliwa hiyo ni habari njema kwa yule aliyekubaliwa na wale watakaotawaliwa na yule aliyekubaliwa yaani aliyekubalika na Mungu. Maana huyo ndiye Aliye katika mpango wa Mungu.
"mwovu akitawala watu huugua"
Mithali 29 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
² Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
endapo msimamizi wa itikadi zote usemazo na comforter wa nchi ni kiziwihata kama mchungaji yuko sahihi, lakini kanisani si sehemu sahihi ya kuhemuka kisiasa, kanisa ni mchanganyiko wa waumini wenye itikadi tofauti, mchungaji aheshimu itikadi tofauti za kisiasa za waumini wake, kama huwezi kunielewa nachomaanisha wewe ni typical Psychopath & Egocentric
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa wehu Mungu wanamchukulia kama msela tu, tena mwanachama wa CHADEMA! Wtf!
Maandiko yanasema "Tiini Mamlaka kwa maana Mamlaka zote hutoka kwa Mungu"!Angesema mama anaupiga mwingi ndio angekuwa anahubiria wenye akili eeh