Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Kutoijua kwako Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio kosa langu.
Katiba ya JMT naifahamu kwa kiasi ambacho wewe huwezi kufikia hata kiwango cha kuwa mwanafunzi wangu.
Tukifuata katiba na kiapo chake, huyu alistahili awe amekwishaondolewa zamani kwenye nafasi hiyo kwa sababu amekiuka kiapo chake kwa kauli na vitendo.
 
Basi nenda karudia usome ibara zinazomhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa anavyoatikana.
Ulielewa urudi tujadili.
 
Kama Kitima ameacha kuhubiri injili, anahubiri vitisho, lazima akutane na satanic forces, hawa priests are as good as political crminals
RC wana reputation ya kuchochea uasi na mauaji ya halaiki
Akina KITIMA wa Rwanda ndyo waliopelekea kuchochea Genocide, hawa watu ni crooks kwa kificho cha kanisa

Pope Francis has asked for forgiveness for the Catholic church’s role in the 1994 Rwandan genocide, in which 800,000 people were slaughtered in 100 days of violence. The β€œsins and failings of the church and its members” had β€œdisfigured the face” of Catholicism,
 
La maana tusubiri hadi October kwa sababu unabii hupimwa kwa kutimia au kutotimia kwake, miezi mitatu siyo mingi sana.
 
Nimegundua mama ndiye mtawala ambaye hajawahi kuogopwa hapa bongoπŸ˜†
 
Tokalini kiziwi akasikia na alijiita mwenyewe kiziwi
usirudie kupotosha watu
Sifanyi upotoshi, kama kuna mtu ana justify kanisa lenye waumini wa itikadi tofauti kushiriki mapambano ya kisiasa, huyo hajui kazi ya kanisa,
Mi nikienda kanisani nataka nipate injili yenye matumaini siyo siasa isiyo na majawabu ya changamoto za siasa
Ukishabikia dini yako au dhehebu kuapambana na visa vya siasa, unakuwa umerudi kwenye zama za kabla ya kristo (BC) zama za kipagani
 
Unaji mislead either kwa kujua au kutojua.
 
Wewe lodi lofa, chadema inahusika nini na hicho kichefuchefu chako cha kudoea pilau la watu. Idiot.
.but CHADEMA is no More, NRNE ki uhalisia ni miserable end of CDM, ukweli unauma lakini ukubaliane na reality ili kuendelea na mengine ni afya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…