Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Sahihi,shida wakitongozwa wanataka hela afu miyeyusho ni mingi
 
Tatizo ni mmeshazoea kuona vilivyotakiwa viwe ndani Sasa vipo wazi...
Tatizo kubwa ni utu wa mtu umekuwa ni pesa, ndio maana mtu anaona isiwe tabu kila mtu abaki na chake.

Wanawake reality wanawake wengi sana wanauza utamu wakiwemo mpaka wana ndoa wanauziana utamu ila katika style tofauti, watu wengi wa nadhani wauza K Ni wale tu wanaojipanga barabarani na mitandaoni ndio wauza K, nope mwanamke yeyote yule ambayo pesa ndio anawaungaunisha basi muuza K tu kwa style ya kujificha lakini mwanaume yeyote mwenyewe pesa akimtaka Ni lazima amvuwe chupi.

Zamani ilikuwa kama demu akuzimii hata umuingie kwa swaga gani akuvulii chupi na wala hupokei Zawadi yoyote utakayompa kumlainisha, yani akikaza amekaza.

Wanawake ambao wako really Ni wachache sana hao ndio wako tayari kumsapoti mwanaume hata kwa resources zake, kwa Sababu kinachowaunganisha Ni really love na siyo chuna buzi.
 
Kweli bwana...maradhi hazina kwanini ninunue shangingiπŸ€“πŸ€“πŸ€“ alisikika bwana mmoja kutoka safari ya mbali.....
 
Siku hizi kuna Prestige margarine, blueband inasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…