Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Mkuu umeongea ukweli kabisa binafsi kipindi cha nyuma nilikuwa wamoto sana yaani nikiachana na mwanamke ni jambo la usiku mmoja pakikucha nina mwingine ila baada ya kuachana na Mary ghafla kwa sasa nijihisi ni mvivu sana hasa nikifikiria kuji- commit kwa mtoto wa mtu kimahusiano, Naweza nikachukua namba za simu fresh na binti wa watu akaonesha kabisa kwamba ananiskilizia mimi tu ila ghafla najihisi tu kama ile "Au basi tu... Bora niendelee na mishe zingine habari za kuanza kusumbuana sitaki" na hizi habari za wanawake kufanana life style mitandaoni basi ndo kabisa yaani status za Amina zina maudhui ya Angel na Mwajuma... Mara Memes, Mara huku aulize "Nani wa kunitoa out" n.k yaani imekuwa ni kama wanawake ni wepesi sana kuwapata ukitumia hela maana wanataka show offs tu mitandaoni hivyo ndo mtu unaona kama naweza kumpata kwa hela basi yoyote anaweza kumpata sasa ya nini nijisumbue kutongoza wakati shortcut ipo ngoja nizitafute nitamtafuta nikiwa na hamu zangu. And this is how this shit goes...
 
Hawa feminists ndo wameharibu. Sasa hivi kijana wa kiume hana haki yoyote. Haki zote wamepewa wanawake. Kwahiyo vijana wameona njia sahihi ni kuwapotezea ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima. Imefikia mahali wanaharakati wanachochea wanandoa kupelekana mahakamani kwa kesi za ubakaji endapo mwanamke kalazimishwa kugongwa. Pia ubepari unazidi kuota mizizi hali ya kiuchumi sio poa.
 
🤣🤣🤣🤣Sasa chief we ukishoka kidogo unaambiwa uko na bei gan mfukoni we huo mda wakutongoza kujipa shida utakuepo unadhani saiv single gathering tunabaki na usimbezi
 
Wanawake wenyewe wamekuwa na very high standards which was always there but wamezidisha and it has become stupid. Haki sawa, equal opportunities to education and work but bado wanataka wahudumiwe kila kitu we imagine mtu Km Mange she makes billions but bado anataka mwanaume tajiri. Wana high standards kw muonekano, pesa which is literally Km 2% ya wanaume and wanawake wengi haswa hawa middle income wanatoa mitoso mikali sana na ya kishamba and men hawataki izo drama so anajipotezea tu; wengi wanaishia na porno, Punyeto, kununua machangu Au hata kulala na mashoga kwa kuondoa hamu ila sio hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…