Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Me natongoza sana ila mpk zishuke chini means mpaka nile pombe ndo sioni soo...yote kwa yote kwa kuishi naye ndani awe atleast na kazi yake ajiendeshe me ni kulipa bills na chakula..nguo saloon iwe juu yake Shenzi kbs
 
Moja katika dalili za kiama, (siku zamwisho za ulimwengu) kutakuwa na idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaune,.

Itafika wakati mwanaune mmoja unaweza kuwa na hata wanawake zaidi ya 10 na bado wakabaki wengi tu ambao hawana wanaune,
.na katika mapokezi mengine ni mwanaune mmoja kwa wanawake 50 , hiyo ni rate

Source : prophet Muhammad (rehma na Amani zimshukie)

Kwahiyo usishangae hayo, yatatojea na huu ni nwanzo tu, ndo kwaanza panaanza,
 
Utakufa itapita miaka b 10 hakuna hicho kitu kinachoitwa kiama kitatokea.
 

Amini usiamini ila ni wachache sana wanaofanya hizo mambo na ndio mana wewe binafsi kweny family yenu huna kaka anaevaa hereni wala makeups. Ni kikundi kidogo sana ambacho huwez kukitumia kugeneralize wanaume wote
 
Wapiga kavu kavu utawajua tu,Jamani ukimwi bado upo condom buku tu.
 
Kuna binti mmoja nisha toka naye kama Mara 3 hivi,sasa toka mwezi April hatujakutana mwezi uliopita tukupoonana nikamwambia nimemis mambo yetu-akaniambia ni wewe tu hata kesho.Nikamudanganya Mimi sasa hivi sipo vizuri financially basi wewe lipia lodge twende zetu-manzi akasema yani Mimi nitafute hela kwa shida halafu nitumie hela yangu nilipe lodge nikalale na Mwanaume nikamuuliza kwani kuna shida gani ukilipa kwa ajili ya mimi mpenzi wako-akasema that will never happen.

Tokea siku ile nilimpotezea na kum delete kichwani kabisa ,juzi kanipigie ananiomba 200K,nikampa makavu nikamwambia hata Mimi natafuta pesa kwa jasho kama wewe siwezi kutoa hela yangu kwa mwanamke asiye thamini urafiki wetu.

Wanawake viumbe wa ajabu sana,hela yake yeye ina umuhimu,ya Mwanaume ndio anaona haina maana.
 
Mtu unamwingia kwa hisia za mapenzi yeye anawaza madeni ya vikoba,songesha, tala na mikopo umiza.

Kila siku unachezea Vizinga vya hovyo hovyo utafikiri we ni chemichemi ya hela.

Ukweli ni kwamba asilimia 99.9 ya wanawake siku hizi hawastahili kupendeka.

Tuwaache wahangaike hivyo hivyo kama panya buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…