Mbowe anafanya kazi ya systemNipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Inawezekana ni Script ya maigizoIlikuaje kasoteshwa ndani gerezani kwa kesi ya ugaidi??
" Abdulism" with the Wajinga peopleNipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Chadema imeshamalizwa.....Leo hazipo na wamepewa Hadi walinzi.
Duh!Umechelewa sana ndugu yangu kufahamu hilo.nl
CCM through state is playing a beautiful game. Machadema hayajielewi hata hayaoni
πππππππππππNipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
He will be hated foreverMbowe ni shida Sana.
Za kipuuzi kabisa!political games zinazochezwa na state