Ni hao vichaa wenzake ccm wanafanya watakavyo.Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Wewe ndio pekee unamjua mwanaume mwenzioMlaghai Sana. Ni vile tu bado watu hawajamjua kiundani.
Baada ya kutoka gerezani aliamua kuungana na watesi wetu, hafai tena kuendelea kuwa mwenyekiti pamoja na tamaa zake za fisi!Ilikuaje kasoteshwa ndani gerezani kwa kesi ya ugaidi??
Mimi ni CCM kama ilivyo kwa MboweUnaonaje wewe ukaanza movement? au zako ni za kwenye keybord pekee?
State hawana akili hiyo, msiwape sifa wasizokuwa nazo.CCM through state is playing a beautiful game. Machadema hayajielewi hata hayaoni
Nilipo waambia mkanibishia mbowe anausika na mauaji hadi ndani ya chama chake mfano.kibao kauliwa kwa sababu ni.mwanajeshi mstaafu ...ccm imekusudia kuua wanajeshi wastaafu wote waliopo.upinzani wanaokataa kutumiwa na usalama wa taifa kwa siri ....Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe kufanya maandamano ila ni juzi tu hapa walizuia maandamano.
Kaka yake FAM alikuwa mwanajeshi mwenye cheo cha juu mno. Tetesi zilizopo ni kuwa wakati kaka yake akiwa askari mwenye cheo cha juu, na yeye ni ntu wa system mwenye cheo cha juu sana.Zamani nilikuwa siamini madai hayo na nilimuona FAM kama mpnzani wa CCM kindakindaki. Matukio ya hivi karibuni yamenithimitishia vinginevyo na kunifanya nipoteze imani yangu kwa Chadema na vyama vya upinzani kwa ujumla.
Sawa mr. mpumbavuState hawana akili hiyo, msiwape sifa wasizokuwa nazo.
Kilichoniumiza zaidi ni wakati wakesi yake hiyo ya ugaidi. Tulitumia gharama zetu wenyewe kwa nauli na malazi toka mikoani kumtia moyo kila alipokuwa akiletwa Mahakamani. Leo anakwenda kuungana na Watesi wetu?? Walioamua kutupotezea fedha na muda wetu kwenye kesi ya kipuuzi.Baada ya kutoka gerezani aliamua kuungana na watesi wetu, hafai tena kuendelea kuwa mwenyekiti pamoja na tamaa zake za fisi!