Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Just let him vent at the last end he has two option..one to transfer his did k to government school or to pay the amount. Don't give him a platform.
We are not going to pay.If you do anything to our children be prepared.We are going to court.Nobody will give you a PEACEFUL platform.It is your choice you either abide to the contract or face the consequence that can lead to closure of your school
 
Hivi kwani kuna mmiliki wa shule alimfuata mzazi akamwambia nipe mwanao? Kama hakuna kipi kigumu kusema namtoa mwanangu. Lakini uliendaa mwenyewe kwa miguu yako so kama huwezi just quit. Mkataba ulionao na mmiliki ni Wa mwaka sio wa miezi. Hajakufungia hapo so unaweza kuondoka. Na sheria ya elimu haina kiwango cha kulipa wala sheria ya makampuni haina ceiling price so kabla hujafikiria usemayo haki jiulize uliingia mkataba gani na mmiliki. Private schools ain't public good bro so its price isn't dictated by the state. Wisdom yap but sio kulazimishana.
 
Yap
Je operations nyingine ziliendelea kama kulipa bili za umeme, maji na wazabuni wa chakula kingali watoto walikuwa nyumbani. Tuanzie hapo kwanza
Yap Umeme uliendelea kumika, ulinzi ulifanyika ili wakija wakute Mali zao bado zipo salama. Maeneo yaliandaliwa ili wakia waingie waendelee kusoma. Walimu waliaandaa maswali yakatumwa nyumbani nwakifika watasahihisha na kufanya masahihisho. So yap kazi ziliendelea japo sio zote. He hapo serikalini wasingelipa mishahara walimu wasingedai?
 
Habari uongozi wa ****unakutangazia kuwa shule inafunguliwa rasmi tarehe 29/6/2020 ila wanafunzi wa bweni wataripoti tar. 27/6/2020 mwisho saa kumi bila ada mwanafunzi hatapokelewa.
 
We are not going to pay.If you do anything to our children be prepared.We are going to court.Nobody will give you a PEACEFUL platform.It is your choice you either abide to the contract or face the consequence that can lead to closure of your school
Or dear sir it is not must we educate your kid. We ain't a free public good. I should send you to eco 101 where you will be taught the meaning of private and public goods. As for the court it will hear all the two sides and weights on the merits of the case.Although it is unknown what the vedict will be, am perfectly sure the learned Justices will hea the owners plight. So why use all the energy while you could simply take your son elsewhere?
 
Kuvunja mkataba pia kuna taratibu huvunji tu ukiamua bila consequence kisa wewe mumiliki wa shule
 
The best thing is that even court judges have children studying in your schools .So as parents they are also affected.Let us meet at the court room, it is not a big deal
 
Kuvunja mkataba pia kuna taratibu huvunji tu ukiamua bila consequence kisa wewe mumiliki wa shule
And according to the contract we signed with parent was for them to pay school fees for the year 2020. Failure to pay means your kids should be expelled immediately as we are neither charity nor a public funded school.
 
To the court it is!!!
The best thing is that even court judges have children studying in your schools .So as parents they are also affected.Let us meet at the court room it is not a big deal
 
Bado hujanijibu kwenye chakula na wazabuni wa chakula na vifaa vingine za kujifunza na kufundishia.
Je bili za maji na umeme zimelipwa sawa sawa na wakati ambapo watoto wapo shuleni. Ujue baba magufuli kawa mpole sana saa hizi na kipindi hiki. Navyo mjua sangija wa bhabha na bha mayooo anazichukia hizi taasis binafsi za elimu jinsi zinavyofanya monopoly. Kubali ukatae hizi shule hazipo kutoa huduma ila biashara. Yaan siku akili za mzee baba zikiwaka tena tutaona regulator authority inaundwa kisheria kuzidhibiti namna zanavyotaja bei za ada kama bei ya iphone....
Kweli kuna gharama shule iliziingia alkini sio kuwapiga wazazi hela ivoo. Kuna shule zilitaka mtoto aende la lakin7 kwa ajili ya tangawizi na limao tuu
 
And according to the contract we signed with parent was for them to pay school fees for the year 2020. Failure to pay means your kids should be expelled immediately as we are neither charity nor a public funded school.
don`t worry let the school be opened first and see what your school does to those who wont abide to youir barbaric decision !!! the way forward will be decided then

Till that time bye bye
 
We ni mmoja wa wamiliki wa shule?
 

Acha ujinga. Tena ushukuru hii shule ni waungwana kwa kuwapunguzia laki moja nzima. Utaratibu ni kuwa mwanafunzi anapaswa kusoma siku 195 kwa mwaka na kulipa ada iliyopangwa awali bila nyongeza yeyote. Shule hii ada yake ni 2.6m kwa mwaka. Haijaongeza isipokuwa imepunguza. Ulipaswa kuwa na shukrani. Kilichobadilika ni ratiba tu lakini siku ni zilezile za kusoma. Hivyo unapaswa kulipa ada yote kwa mwaka. Hizo tarehe za corona zisikufanye urukwe akili. Shule ingeweza kusema tu lipa ada yote ya mwaka bila instalment, yaani 2.5 m baada ya punguzo. Wameweka installments kukupunguzia mzlgo wewe mzazi. Basi nawe mzazi kuwa na uelewa na shukrani. Kama ulilipa kiasi fulani ya hii ada, sasa lipa kiasi kilichobaki. Nanyi Wakuu wa shule waelimisheni wazazi wa aina hii wasioelewa.
 
Ni shule hizo hizo zilizositisha mishahara kwa waalim na watumishi wake tena bila makubaliano yoyote. Je sheria, kanuni za ajira na mahusiano zinasemaje. Ndo maana waziri hakupenda kutumia kalamu yake bali amesema busara itumike. Waziri akitumia kalamu yake shule hizi zitalia kilio.
 
Ndo maana shule niijuayo Mimi wameondoa chalula na usafiri Wa siku 35 ambazo hakijatumika wala hakitatumika pamoja na kufidiwa kwa wiki mbili September na mbili nyingine December. Kwa gharama nyingine zinabaki hivyo hivyo.

Kwenye suala la kutoa huduma au biashara shule zinafanya vyote. Cha kwanza sio jukumu lao kutoa elimu na hawalipwi na serikali kwa kutoa hiyo Huduma so yap in biashara kama biashara nyingine. Anaajiri, anahakikisha wanapata elimu bora maana la sivyo unabaki na Majengo yako. Serikalini kila siku wanakua Wa mwisho lakini wazazi wala hawaulizi ila private ikiwa ya mwisho kila mzazi anakuja kuondoa mtoto wake. Hujawahi jiuliza kwa nini?
Pia walimu kwenye vifaa vya kufundishia lazima waandae scheme upya maana ya zamani ilikua inaishia October kwa while nyingi. Hapo kuna zana za kuandaa tens upya na kwa while waluokua wanatoa maswali walikua wanaprinti kwa kutumia Umeme. So faily inatakiwa iondolewe usafiri na chakula tu.

Kwa upande wa pili in huduma maana mtoto analelewa kwenye malezi mazuri ambayo wakati mwingine hata mzazi hana muda nae.
 
Sio wamiliki wote walituma wafanyakazi bila mshahara. Wapo waliolipa na bado wana madeni kwa miezi waliyolipa kwa asilimia. Kama angefukuza wafanyakazi wore he watoto wakirudi wanapokelewa na nani?
 
Sio wamiliki wote walituma wafanyakazi bila mshahara. Wapo waliolipa na bado wana madeni kwa miezi waliyolipa kwa asilimia. Kama angefukuza wafanyakazi wore he watoto wakirudi wanapokelewa na nani?
Kaka andika hoja zako umetulia. Sounds like unahoja nzuri ila hujazipanga vizuri.
Iko hivi waali na watumishi hawakuileta korona, basi korona isitumike kuwaumiza watoto, waalim, watumishi, wazazi na shule zenyewe. Busara itumike kila jambo litakwenda vizuri. Fair and win win situation italeta mwafaka mzuri.
 
The best thing is that even court judges have children studying in your schools .So as parents they are also affected.Let us meet at the court room, it is not a big deal
And accordingly the court is supposedly to be an impassial arbiter of justice sir.
 
Kama walifundishwa mtandaoni kulipa ni wajibu, kama hawakufundisha mtandaoni hapo ni tatizo.
Hata hapo hakuna tatizo. Hujui kama shule zitalazimika kufanya kazi ya ziada kufidia muda uliopotea? Hujui walimu watafanya kazi overtime ili kuhakikisha syllabus zinakamilika? Kama miezi iliyopotea na ada yake pia imepotea, tukubaliane pia kuwa na topic zilizopaswa kufundishwa miezi hiyo walimu nao pia waachane nazo kuzifundisha!!!! Watu sijui ni vipofu?? Mnashindwaje kuiona logic hii ndogo tu??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…