Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Sir the heart of lady justice is to render impassial verdict. Winning in any other terms is cheating. Our case lie on the justice so if you are thinking of mental bribery then I say sorry.
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Matusi yanaonyesha jinsi ulivyofilisika kichwani. Uelewa ni ziro. Hata lugha yako ni ya kihuni na mbaya. Nenda kuchunguza ubongo wako. Una shida kubwa sana.
Next time budaaa, yu better know rules of engagement. Umeniattack kwa neno nimekuattack na mimi pia.
 
Mzee watu watakuachia majengo yako! ukiamka uwe unayazungukia usidhani watu hawana hela Kinachotakiwa ni hela iende kwa haki
Ndugu huwajui wazazi.


Wazazi wanapiga porojo nyingi alafu tarehe 28 wanamiminika na watoto wao kuwapeleka mashuleni wakiwa na ada.

Hizi kelele za humu zisikuzubaishe ukafikiri wazazi hawatatoa pesa.

Mimi wangu nimemuandalia pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
no please mkataba haukuwa kufundishana mitandaoni!!! kuna chakula kinakuweko kwenye ada walikula mtaandaoni?kuna boarding cost walilala mtandaoni wa shule?nk
Wewe si huwa nasikia huko kwenye lichama lenu mnalipwa mapesa mengi, iweje unalia lia mitandaoni?

Lipa pesa bwana!
 
Next time budaaa, yu better know rules of engagement. Umeniattack kwa neno nimekuattack na mimi pia.

You don't know even English. Do you understand what "engagement" means? It is totally out of this context. You still remain a half cooked fellow with probably some blood strains on the brain.
 
You don't know even English. Do you understand what "engagement" means? It is totally out of this context. You still remain a half cooked fellow with probably some blood strains on the brain.
Budaaaa, I wrote "rules of engagement" (ROE). Dont read btn the lines...
Yu better know the rules of engagement i write once again. Vinginevyo utaanza kutafuta huruma humu ndani.
Umenitukana, nimekutukana unavimba, ili nani akuonee huruma. Huzijui sheria za mchezo budaaa.
 
Swali la kufikirisha, Walimu nao wakisema waruke mada zilizotakiwa kufundishwa kipindi cha Corona waanzie hapo wanapotakiwa kuanzia mwezi huu. Maana watoto watamaliza mada zote za mwaka husika kwa muda ulioongezwa wa masaa mawili ya ziada na miezi ya mbele ambayo haitakuwa na likizo. Maana mtoto hatofundishwa nusu, ni busara tuujnahitajika kati ya pande mbili shule husika na wazazi. Hizi vurugu zote kati ya wazazi na shule, ni muanguko wa kiuchumu sababu ya Corona Wazazi hawana pesa na shule hazina pesa kila mtu anahisi apunguze shida zake upande mwingine. Ndio maana waziri akawauzia mechi mjadiliane wenyewe asije akajifunga na kauli yake, tarehe za uchaguzi hizi Bwashee.
 
Prof.Ndalichako toa ufafanuzi ktk suala la ada kwa shule binafsi, je wanalipa ada kuanzia mwezi july na kuendelea au kuanzia karantini ilipo anzia au miezi wanafunzi walipo kuwa karantini haitozwi?
na kwa wanafunzi walio lipa ada ya mwaka mzima vipi kuhusu miezi waliyo kaa karantini chenji inarudishwa? wizara toeni ufafanuzi kuwanusuru wazazi
 
Hivi kwani kuna mmiliki wa shule alimfuata mzazi akamwambia nipe mwanao? Kama hakuna kipi kigumu kusema namtoa mwanangu. Lakini uliendaa mwenyewe kwa miguu yako so kama huwezi just quit. Mkataba ulionao na mmiliki ni Wa mwaka sio wa miezi. Hajakufungia hapo so unaweza kuondoka. Na sheria ya elimu haina kiwango cha kulipa wala sheria ya makampuni haina ceiling price so kabla hujafikiria usemayo haki jiulize uliingia mkataba gani na mmiliki. Private schools ain't public good bro so its price isn't dictated by the state. Wisdom yap but sio kulazimishana.
This is a very stupid statement.Na mimi naweza kukuambia kwani mzazi alimwambia mmiliki ajenge shule,si njaa yake.Hapa hakuna haja ya kudhani one is above the other,kila mmoja anamuhitaji mwenzie,kwa hiyo busara lazima itumike.Wazazi wote tukiamua ku-pool out our kids,si mtakufa na njaa,acheni ujinga.
 
This is a very stupid statement.Na mimi naweza kukuambia kwani mzazi alimwambia mmiliki ajenge shule,si njaa yake.Hapa hakuna haja ya kudhani one is above the other,kila mmoja anamuhitaji mwenzie,kwa hiyo busara lazima iwepo.Wote tukiamua ku-pool out our kids,si mtakufa na njaa,acheni ujinga.
Busara itumike. Tukisema sheria ifate mkondo wake kila mmoja ataumia.
 
Nd
This is a very stupid statement.Na mimi naweza kukuambia kwani mzazi alimwambia mmiliki ajenge shule,si njaa yake.Hapa hakuna haja ya kudhani one is above the other,kila mmoja anamuhitaji mwenzie,kwa hiyo busara lazima itumike.Wazazi wote tukiamua ku-pool out our kids,si mtakufa na njaa,acheni ujinga.
Ndo maana kwa aliyeelewa nimeandika Wisdom and foresight hapo juu. Aliye mtata then the two options!
 
Sasa si Waalimu nao wanahitaji salary Wajameni? mnataka pesa watoe wapi na ada ndio chanzo chao kikuu?
 
Prof.Ndalichako toa ufafanuzi ktk suala la ada kwa shule binafsi, je wanalipa ada kuanzia mwezi july na kuendelea au kuanzia karantini ilipo anzia au miezi wanafunzi walipo kuwa karantini haitozwi?
na kwa wanafunzi walio lipa ada ya mwaka mzima vipi kuhusu miezi waliyo kaa karantini chenji inarudishwa? wizara toeni ufafanuzi kuwanusuru wazazi
Ni rahisi mkuu mbona.Ni kuchukua tu ada ya mwaka devide by 12 halafu zidisha kwa miezi mtoto aliyokaa shule!Kwa watoto wa Form II ni miezi 7,madarasa mengine except Form VI,ni miezi 8.Form VI ni a little bit more than 8 months.
 
Wewe si huwa nasikia huko kwenye lichama lenu mnalipwa mapesa mengi, iweje unalia lia mitandaoni?

Lipa pesa bwana!
Nadhani issue sio kuwa na hela au kutokuwa nayo ni habari ya haki Shule ipate haki yake halkadhalika mzazi
 
This is a very stupid statement.Na mimi naweza kukuambia kwani mzazi alimwambia mmiliki ajenge shule,si njaa yake.Hapa hakuna haja ya kudhani one is above the other,kila mmoja anamuhitaji mwenzie,kwa hiyo busara lazima itumike.Wazazi wote tukiamua ku-pool out our kids,si mtakufa na njaa,acheni ujinga.
Toeni watoto wenu, unamtishia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Busara itumike. Tukisema sheria ifate mkondo wake kila mmoja ataumia.
Mkuu haki ikitumika,hili swala liko wazi sana.Shida ni kwamba shule nyingi hazitaki kufuata haki,zinataka kuwaibia wazazi.Viongozi wengi wa shule binafsi mkuu ni wababaishaji sana.
 
Back
Top Bottom