Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

And accordingly the court is supposedly to be an impassial arbiter of justice sir.
Yes and they won`t need many witnesses because they are also witnesses because they have children in your schools!!! So when they make decisions they will take into account their own witness also!!! It is not a big deal
 
Hata hapo hakuna tatizo. Hujui kama shule zitalazimika kufanya kazi ya ziada kufidia muda uliopotea? Hujui walimu watafanya kazi overtime ili kuhakikisha syllabus zinakamilika? Kama miezi iliyopotea na ada yake pia imepotea, tukubaliane pia kuwa na topic zilizopaswa kufundishwa miezi hiyo walimu nao pia waachane nazo kuzifundisha!!!! Watu sijui ni vipofu?? Mnashindwaje kuiona logic hii ndogo tu??!!
Ujue sekta ya elimu kila kitu ni majaribio kuanzia waziri , watumishi hadi wadau. Sion cha kuongeza saa za ziada kama siku za masomo zimeongezwa. So far sion hata haja ya kusema waalim na watumishi watakuwa na extra hour wakati umefanya kama ku resume learning days. Every thing is back to normal. Yaan equilibrium ime shift to restore the change.
Le Chattalier's principle.
 
Ni shule hizo hizo zilizositisha mishahara kwa waalim na watumishi wake tena bila makubaliano yoyote. Je sheria, kanuni za ajira na mahusiano zinasemaje. Ndo maana waziri hakupenda kutumia kalamu yake bali amesema busara itumike. Waziri akitumia kalamu yake shule hizi zitalia kilio.

Hujaelewa, unaropoka tu. Waalimu hawakulipwa mishahara kwa sababu wanafunzi hawahajalipa ada kwa miezi husika. Shule nyingi ada ya mwaka inalipwa kwa instalment ili kuwasaidia wazazi. Lakini sasa shule zinafunguliwa, ada stahiki zitalipwa, nao waalimu watalipwa mishahara yao yote kwa mujibu wa mikataba yao. Hivyo, mishahara ambayo haikulipwa ya miezi husika inakuwa malimbikizo. Watalipwa. Kuwa na uelewa na lipa ada ya mwanao.
 
Kaka andika hoja zako umetulia. Sounds like unahoja nzuri ila hujazipanga vizuri.
Iko hivi waali na watumishi hawakuileta korona, basi korona isitumike kuwaumiza watoto, waalim, watumishi, wazazi na shule zenyewe. Busara itumike kila jambo litakwenda vizuri. Fair and win win situation italeta mwafaka mzuri.
Unajua in mini juzi nimekaa nikijadili ada ipunguzwe kwa shilingi ngapi ili watu ambao hawajalipwa April to June walipwe waweze kufanya kazi kubwa iliyo mbele yetu. Watafanya Nazi kwa miezi sita mfululizo halafu mtu anasema no mzigo Wa mmiliki. Kama hataki achukue tu mtoto wake. Siwezi mfanyiza MTU kazi miezi sits mfululizo kama sitamlipa at least arears zake. Na siwezi kulipa kama hazijalipwa na watakaofundishwa. Sio watu wore in wanyama aisee.
Kwanza tunarudishiwa mtoto aliyetazama singeli na bongo muvi toka March 18 na October 7 ana mtihani wa taifa. Nawahurumia hao walimu maana ni kama wanaenda kuanza upya tena afdhali hata likizo ya December mzazi yupo naw likizo au mtoto alienda tuition so hajasahau vitu. Sasa tunaanza upya so asiyetaka aende tu.
 
Acha kukurupuka ww
Waalimu wanalipwa mshahara, majengo yanalipiwa kodi au yana gharama za matengenezo, walinzi na gharama nyingine zinakuwepo hata kama watoto wanajifunzia nyumbani. Fedha hizo zinalipwa kwa njia ya ada. Ni sawa ada ilipwe semesta zote.

If you think education is expensive consider ignorance
 
Hata hapo hakuna tatizo. Hujui kama shule zitalazimika kufanya kazi ya ziada kufidia muda uliopotea? Hujui walimu watafanya kazi overtime ili kuhakikisha syllabus zinakamilika? Kama miezi iliyopotea na ada yake pia imepotea, tukubaliane pia kuwa na topic zilizopaswa kufundishwa miezi hiyo walimu nao pia waachane nazo kuzifundisha!!!! Watu sijui ni vipofu?? Mnashindwaje kuiona logic hii ndogo tu??!!
Wewe soma wanaopinga, utabaini hawana hoja ngumu. Zote zinajibika sema usijifanye haujui bifu la sisi wazazi na walimu.[emoji23]

Ila mwisho wa siku kila mzazi atapeleka mtoto wake akiwa na ada. Pia wapo watakaoshindwa na kuhamishia watoto kwenye shule za serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
Sina mkataba na kodi ya majengo ya shule, sina mkataba na mwalimu kuhusu mshahara wake.

Kama ni hivyo mwenye shule nae awe na mkataba na biashara zangu, siku zikienda sawa nisimlipie ada mtoto kwakuwa nina kodi za kulipa.

Bahati tu watoto wangu wako shule ya Tambuka Reli Pr School, vinginevyo pangechimbika.
 
Hujaelewa, unaropoka tu. Waalimu hawakulipwa mishahara kwa sababu wanafunzi hawahajalipa ada kwa miezi husika. Shule nyingi ada ya mwaka inalipwa kwa instalment ili kuwasaidia wazazi. Lakini sasa shule zinafunguliwa, ada stahiki zitalipwa, nao waalimu watalipwa mishahara yao yote kwa mujibu wa mikataba yao. Hivyo, mishahara ambayo haikulipwa ya miezi husika inakuwa malimbikizo. Watalipwa. Kuwa na uelewa na lipa ada ya mwanao.
Ok. Mimi nalopoka. Je mkataba unasemaje. Umepitia mikataba yao. Wewe ndo unalopoka shit hole mkubwa wewe.
Umewahi fanya kazi kwenye shule private na ukapewa written contract, kiazi wee.
Utakuwa kishoka wewe mpuuzi. Ulizoea kupewa mikataba ya mdomoni. Hujui lolote. Kojoa ukalale. Maza fanta
Unazijua sheria na kanuni zilitungwa kuzisimamie shule na ajira za watumishi waliopo kwenye izo shule.
Unajua kwa nn waziri aliomba busara itumike.
Ujue kama ni sheria ikifuatwa hizi shule binafsi zilikuwa zinafutiwa usajili. Upoooooo
 
no please mkataba haukuwa kufundishana mitandaoni!!! kuna chakula kinakuweko kwenye ada walikula mtaandaoni?kuna boarding cost walilala mtandaoni wa shule?nk
Hao wamiliki wa Shule wamevugwa na njaa
watoto walirudi nyumbani kazi zilisimama wapi hela itatoka Sasa hivi kulipa ada ambayo hata mtoto mwenyewe hakuwa shule
 
Yes and they won`t need many witnesses because they are also witnesses because they have children in your schools!!! So when they make decisions they will take into account their own witness also!!! It is not a big deal
If you understand a bit about impassibility then you would understand that the judge in question should excuse himself as he can't render a fair judgement. Go and open the books sir then can back to argue your case when you are learned enough to argue.
 
Waalimu wanalipwa mshahara, majengo yanalipiwa kodi au yana gharama za matengenezo, walinzi na gharama nyingine zinakuwepo hata kama watoto wanajifunzia nyumbani. Fedha hizo zinalipwa kwa njia ya ada. Ni sawa ada ilipwe semesta zote.

If you think education is expensive consider ignorance
Kulipa mishahara ni wajibu wa mmiliki wa Shule maana ndio anamkataba nao
 
Yani umeona hali za walimu tu,

Haujaona namna mtoto wako atakavyotendewa haki?

Wewe unapima muda wa mtoto kukaa shuleni au unapima kile alichotakiwa kukipata ndani ya mwaka mzima wa masomo???


Korona haijaletwa na shule.

Fikiri kwa pande mbili punguza ubinafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue kama hizi nikujadiliana sio kulazimisha Mmiliki wa Shule wanafunzi ndio bidhaa yake akileta ujinga watu wakiondoa watoto atabaki na majengo
 
Arguing here will not solve anything. Before us are two judgement call, either pay or pull your kid. Reasoning with a person who ain't ready to compromise will not resolve the issue at hand. Wisdom and foresight will. Now if you would excuse me I have to prepare for kids to come and find an environment they can resume their studies.
 
Ok. Mimi nalopoka. Je mkataba unasemaje. Umepitia mikataba yao. Wewe ndo unalopoka shit hole mkubwa wewe.
Umewahi fanya kazi kwenye shule private na ukapewa written contract, kiazi wee.
Utakuwa kishoka wewe mpuuzi. Ulizoea kupewa mikataba ya mdomoni. Hujui lolote. Kojoa ukalale. Maza fanta

Hoja hujibiwa kwa hoja. Matusi yanaonyesha jinsi ulivyofilisika kichwani. Uelewa ni ziro. Hata lugha yako ni ya kihuni na mbaya. Nenda kuchunguza ubongo wako. Una shida kubwa sana.
 
If you understand a bit about impassibility then you would understand that the judge in question should excuse himself as he can't render a fair judgement. Go and open the books sir then can back to argue your case when you are learned enough to argue.
YOU cant`t miss a judge who has a child or relative child in private school .It is aminor issue is just exchanging when making decision if JUDGE X has a child in X school and judge Y has a child in Y SCHOOL which have the same case, they just exchange .Judge Y makes decision on X SCHOOL CASE and judge X makes decision on Y SCHOOL CASE.It is not a big deal
 
Arguing here will not solve anything. Before us are two judgement call, either pay or pull your kid. Reasoning with a person who ain't ready to compromise will not resolve the issue at hand. Wisdom and foresight will. Now if you would excuse me I have to prepare for kids to come and find an environment they can resume their studies.
Wisdom and foresight. Win win situation.
Nimekuelewa mkuu[emoji120][emoji1666][emoji122]
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Matusi yanaonyesha jinsi ulivyofilisika kichwani. Uelewa ni ziro. Hata lugha yako ni ya kihuni na mbaya. Nenda kuchunguza ubongo wako. Una shida kubwa sana.
Umeanza kuniita mlopokaji. Ngoja nikulopokee sasa.
 
WAZAZI FANYENI HIVI ILI MSILIPE HIYO PESA.


MWEZI WA 9 IAMBIENI SERIKALI WATOTO WENU WAPUMZIKE SIKU 14.

MWEZI WA 12 WATOTO WENU WAFUNGE SHULE TAREHE NNE.


ALAFU PASIWEPO NA ONGEZEKO LA MASAA MAWILI KILA SIKU.


KISHA SHULE ZIFUNGULIWE TAREHE 6 JULY.


HAPO HAMTAKUWA NA MGOGORO NA WAMILIKI WA SHULE.


MTAKAPOJUA MNACHOTAKA KUKIFANYA NI UJINGA. NADHANI KWA UMOJA MTAONA UMUHIMU WA KULIPA HIZO FEDHA ZILIZOTAKIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua uchumi halisi was maisha ya mtanzania pitia huu Uzi.

Watu wanashindwa kulipa laki 1 au milion 1 kwa nchi inayojivunia kuwa tajiri na donor country. Haya ndio maisha halisi sisi watanzania sio hayo ya wanasiasa eti tuko vizuri.


Vizuri ya nyoko [emoji1]
Ha ha ha hakuna mtu anashindwa kulipa laki 1 Kinachotakiwa ni haki ikiwa ulimuandikisha mwanao tangu private school utashindwa kumlipia Sasa hivi?
 
Back
Top Bottom