Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
Tunawahurumia,ila tutahakikisha hamuwaibii wazazi.
Tunawahurumia,ila tutahakikisha hamuwaibii wazazi.
Fuateni hiyo haki, msijidhurumu.Mkuu haki ikitumika,hili swala liko wazi sana.Shida ni kwamba shule nyingi hazitaki kufuata haki,zinataka kuwaibia wazazi.Viongozi wengi wa shule binafsi mkuu ni wababaishaji sana.
Toa, usihurumie mtu. Siku zote fanya jambo ambalo nafsi yako inapenda zaidi. Usiikatili nafsi yako.Tunawahurumia.
No,nia ni kuhakikisha kwamba wazazi wote hawaibiwi,and we will make sure that this happens.Tutahakikisha kwamba shule yeyote inayo kwenda kinyume na taratibu inachukuliwa hatua kali.Nadhani serikali haitakuwa na masihara katika jambo hili.Toa, usihurumie mtu. Siku zote fanya jambo ambalo nafsi yako inapenda zaidi. Usiikatili nafsi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nursery&Primary iyo.2.5m times 4yrs=10mil.....kwel kuna watu wana hela!!!kila la heri wandugu onene nadalagema gete ogonchala onegene goshule ja mahela gede ayo!
Kwa kauli yako hii mkuu, umehalalisha vitendo vya kidhalimu vinanyofanywa na wamiliki wa wazazi. Kwamba toa mtoto wako utapishana na mwingine anamleta wa kwake. Nasema hivi ikianzishwa mamlaka ya kisheria ya kudhibiti ada na tozo na uendeshaji kwa ujumla wa hizi taasis binafsi za elimu watu wengi watafunga biashara.Fuateni hiyo haki, msijidhurumu.
Wakati unamuondoa mtoto wako unapishana na mzazi anapeleka mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefikiri vema Kabisa, Ni hesabu kichaa hizoMtoto bado Yuko chekechea unamlipia kwa mwaka milion 2.5 bado hajafika shule ya msingi , secondary na chuo halafu anakuja kulipwa mshahara wa laki 9 ...
Wazazi fikirini nje ya box
You are wrong,shule nyingi zinalia na ukosefu wa wanafunzi.Lakini hata hivyo kama ni mmiliki wa shule,huna busara kabisa.So,kwa vile wazazi wanapishana ndio uwaibie wazazi.Mpuuzi kabisa.Fuateni hiyo haki, msijidhurumu.
Wakati unamuondoa mtoto wako unapishana na mzazi anapeleka mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi kaka maisha ya utafutaji yamebadilika sana. Sasa wazazi inabidi wafanye kazi kukuza kipato cha kaya hivyo jukumu la kuwaendeleza watoto kielimu wameachiwa waalim. Hasa hawa waalim wa shule binafsi kuanzia early childhood hadi secondary levels.Umefikiri vema Kabisa, Ni hesabu kichaa hizo
Unajua kuna wakati mzazi apatiwe kile anahitaji. Hataki kuelewa kwamba siku zitabaki kwa zaidi ya 95% vile vile. Anasema apeleke ada yenye punguzo la 25%. Unataka huyu mzazi nimshaurije anielewe? Acha aifuate njia yake.Kwa kauli yako hii mkuu, umehalalisha vitendo vya kidhalimu vinanyofanywa na wamiliki wa wazazi. Kwamba toa mtoto wako utapishana na mwingine anamleta wa kwake. Nasema hivi ikianzishwa mamlaka ya kisheria ya kudhibiti ada na tozo na uendeshaji kwa ujumla wa hizi taasis binafsi za elimu watu wengi watafunga biashara.
Na watakao baki ni wale waungwana.
Nimefanya kazi hizi shule binafsi na za serikali pia. Kwa kweli zinachekana inapokuja kwenye matokeo na ubora wa elimu wanazotoa. Ila linapokuja swala la FINANCIAL MANAGEMENT zoote ni kama nyani kucheka kundu la mwenzake. Yaan kwenye maswala ya fedha sio shule binafsi wala za serikali kuna ujanja mwingi na uhuni mwingi kiasi kwamba kama wewe ndo uoewe rungu kutoa hukumu unaweza mtoa mtu kidevu aisee. Hii nchi watu wengi wamekaa kipigaji mnoo. Na kibaya zaidi mpigaji wa fedha za wanyonge anasifiwa kwa sifa na mapambio kuliko mwadilifu. Ukiwa mwadilifu unaonekana fala sana.
Binti assume mtoto analipiwa 5,600,000/=,na robo mwaka mtoto amekaa nyumbani.So you want to tell me kwamba mzazi kwa masaa ya ziada mwalimu atakayofundisha mzazi alipe 1,400,000?That is too much,na sio halali.We know kuna masaa ya ziada,lakini tunataka kuwe na dialogue kati ya shule na wazazi,ili wakubaliane on logistics.Shule zisijiamulie zenyewe.Hata hapo hakuna tatizo. Hujui kama shule zitalazimika kufanya kazi ya ziada kufidia muda uliopotea? Hujui walimu watafanya kazi overtime ili kuhakikisha syllabus zinakamilika? Kama miezi iliyopotea na ada yake pia imepotea, tukubaliane pia kuwa na topic zilizopaswa kufundishwa miezi hiyo walimu nao pia waachane nazo kuzifundisha!!!! Watu sijui ni vipofu?? Mnashindwaje kuiona logic hii ndogo tu??!!
Usinitusi. Wewe umepanga kuondoa mwanao muondoe.You are wrong,shule nyingi zinalia na ukosefu wa wanafunzi.Lakini hata hivyo kama ni mmiliki wa shule,huna busara kabisa.So,kwa vile wazazi wanapishana ndio uwaibie wazazi.Mpuuzi kabisa.
Duh,namsifu baba yako mkuu,watoto 16,sijui huo muda aliupata wapi.Hongera zake.Ila hata kama hiyo elimu haikidhi haja,tunataka tu haki itendeke.Iko hivi kaka maisha ya utafutaji yamebadilika sana. Sasa wazazi inabidi wafanye kazi kukuza kipato cha kaya hivyo jukumu la kuwaendeleza watoto kielimu wameachiwa waalim. Hasa hawa waalim wa shule binafsi kuanzia early childhood hadi secondary levels.
Elimu huanzia nyumbani. Home education. Pamoja ma majukumu kuwa mengi wazazi turudi kwenye elimu ya nyumbani. Nasema hivi mimi ni mmoja wa product ya home education. Baba yangu hakuwa mwalimu. Lakini tulikuwa tunafundishwa nyumbani na tulikuwa na program ya kujisomea nyumbani chini ya uangalizi na usimamiz wa baba. Baba alisafiri mpaka nairobi kwenda kutafuta vitabu vizuri vya kenya ili atuendeleze. Katika watoto 16 wa baba hatunawahi kusoma darasa la awali maana kila kilichofundishwa huko primary sisi ilikuwa ni marudio ya yale tuliojiifunnza nyumbani, na hatujawahi kusoma private tangu primary hadi high school.
Kila nikiangalia ada na kinachotolewa na shule kanjanja baadhinza private nasema MUNGU niisaidie. Sitaarajii kusomesha mtoto wangu private simply bcz sina huo uwezo. Nitatumia mbinu za mzee wangu.
Serikali tunafahamu hamuibiwi. Wewe peleka mtoto shuleni, usitegemee jingine kutoka serikalini.No,nia ni kuhakikisha kwamba wazazi wote hawaibiwi,and we will make sure that this happens.Tutahakikisha kwamba shule yeyote inayo kwenda kinyume na taratibu inachukuliwa hatua kali.Nadhani serikali haitakuwa na masihara katika jambo hili.
Watu hawalingani international School watu wanalipa milioni 16 Kwa mwaka na mtu unakuta ana watoto watatu milioni 48 kwa mwaka na hasikii maumivu!! shule ni kama Hotel kuna za watu WA hali ya chini ya kati na ya Juu usishangae hao unaowasema wabasomesha English medium kwa bei hizo wakikutana na wasomesha international schools wanajiona maskini WA kutupwa mbele yaoNi nursery&Primary iyo.
Apo chukua miaka 3 nursery jumlisha miaka 7 primary.
Jumla miaka 10,mara 2.5million. italeta 25 million.
Sawa Kabisa na Deni la HESLB chuo kikuu.
Kwa hiyo unapindisha haki kwa vile tayari watoto wako enrolled kwako.Subiri mwakani.Usinitusi. Wewe umepanga kuondoa mwanao muondoe.
Usitumie kigezo cha uhitaji wa wanafunzi shuleni kuinyanyasa shule.
Fahamu shule zinafanya biashara na biashara siku zote inataka faida. Hakuna mwenye shule ambae atataka hasara.
Katika hili wazazi lazima tulipe ada. Na watakaoshindwa mbona taratibu huwa ziko wazi wanajua nini cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ushauri ni mzuri.Iko hivi kaka maisha ya utafutaji yamebadilika sana. Sasa wazazi inabidi wafanye kazi kukuza kipato cha kaya hivyo jukumu la kuwaendeleza watoto kielimu wameachiwa waalim. Hasa hawa waalim wa shule binafsi kuanzia early childhood hadi secondary levels.
Elimu huanzia nyumbani. Home education. Pamoja ma majukumu kuwa mengi wazazi turudi kwenye elimu ya nyumbani. Nasema hivi mimi ni mmoja wa product ya home education. Baba yangu hakuwa mwalimu. Lakini tulikuwa tunafundishwa nyumbani na tulikuwa na program ya kujisomea nyumbani chini ya uangalizi na usimamiz wa baba. Baba alisafiri mpaka nairobi kwenda kutafuta vitabu vizuri vya kenya ili atuendeleze. Katika watoto 16 wa baba hatunawahi kusoma darasa la awali maana kila kilichofundishwa huko primary sisi ilikuwa ni marudio ya yale tuliojiifunnza nyumbani, na hatujawahi kusoma private tangu primary hadi high school.
Kila nikiangalia ada na kinachotolewa na shule kanjanja baadhinza private nasema MUNGU niisaidie. Sitaarajii kusomesha mtoto wangu private simply bcz sina huo uwezo. Nitatumia mbinu za mzee wangu.
Naomba unielewe,watoto hawahamishwi,ila haki lazima itendeke.Serikali tunafahamu hamuibiwi. Wewe peleka mtoto shuleni, usitegemee jingine kutoka serikalini.
Tutakusaidia kumuamisha mtoto wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yangu ni ile generation ya kina mwinyi, alisoma enzi ya mkoloni. Anasema aliona kuna mabadiliko makubwa kielimu wakati wa mabruda na wakati wa elimu ya sasa. Alioa wanawake 4. Sasa ni mtu makini kwenye maswala ya muda na rasilimali chache alizojaliwa kuwa nazo. Ni ile product ya TABORA SCHOOL ya zama izo. Mambo nilikuwa nafundishwa primary na sekondari nilikuwa naona marudio kwangu. Nimekuta fomu one tunasoma vitabu vya akina mabala na hawa nacheka sana mm nimeisoma nikiwa nipo primary tena nyumbani.Duh,namsifu baba yako mkuu,watoto 16,sijui huo muda aliupata wapi.Hongera sake.
Foolish answers for foolish questions!Usinitusi. Wewe umepanga kuondoa mwanao muondoe.
Usitumie kigezo cha uhitaji wa wanafunzi shuleni kuinyanyasa shule.
Fahamu shule zinafanya biashara na biashara siku zote inataka faida. Hakuna mwenye shule ambae atataka hasara.
Katika hili wazazi lazima tulipe ada. Na watakaoshindwa mbona taratibu huwa ziko wazi wanajua nini cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app