Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
- #181
Pengine anajipanga kwa vita ya Muda mrefu na IsraelWakuu!!Ayatolah kaufyata mkia kauingiza ndani kabisa ya Kanzu hata hauonekani.
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine anajipanga kwa vita ya Muda mrefu na IsraelWakuu!!Ayatolah kaufyata mkia kauingiza ndani kabisa ya Kanzu hata hauonekani.
Hivi ukisikia adui yako aliyeapa kukufuta kaweka ghala la silaha kwa jirani yako ,Aya sawa.
Pia haya alofanya Israel bado ni utashi maana hakuna siku Hizbollah iliishambulia Israel kutokea Syria.
Kama ingekua hivyo Russia angeshalipua balozi za Germany na France kwa nchi husika maana France na Germany ni miongoni mwa mataifa yanayoingilia mgogoro wa Russia V Ukraine.
Ila still Russia haku react kama alivyo react Israel.
Sijayakataa maelezo yako ni sahihi ila maelezo yako still yanaonesha Israel ana react kwa utashi sio kwa sababu toshelezi.
Kwasababu hata yeye Israel ni tishio kwa Lebanon na Syria vile vile.
Hata Syria crisis 1957 Israel alihusika.
Na kwa yale aliyokua anayafanya Israel kwa kuungwa mkono na wamagharibi ndicho kimepelekea kuundwa kwa axis of resistence.
Hana uwezo huo, Vita anayoiweza Direct ni ya kuwaua Wanawake wa Kiiran wasiovaa Hijabu kwenye Nywele zao.Pengine anajipanga kwa vita ya Muda mrefu na Israel
Ngoja tuone
Vita ya Ukraine na Urusi ni tofauti kabisa na mgogoro wa Mashariki ya Kati.Aya sawa.
Pia haya alofanya Israel bado ni utashi maana hakuna siku Hizbollah iliishambulia Israel kutokea Syria.
Kama ingekua hivyo Russia angeshalipua balozi za Germany na France kwa nchi husika maana France na Germany ni miongoni mwa mataifa yanayoingilia mgogoro wa Russia V Ukraine.
Ila still Russia haku react kama alivyo react Israel.
Sijayakataa maelezo yako ni sahihi ila maelezo yako still yanaonesha Israel ana react kwa utashi sio kwa sababu toshelezi.
Kwasababu hata yeye Israel ni tishio kwa Lebanon na Syria vile vile.
Hata Syria crisis 1957 Israel alihusika.
Na kwa yale aliyokua anayafanya Israel kwa kuungwa mkono na wamagharibi ndicho kimepelekea kuundwa kwa axis of resistence.
Hiyo kauli (rhetoric) pamoja na hilo ghala la silaha ni miongoni mwa sababu za kwanini Israel inashambulia pale Syria.Hivi ukisikia adui yako aliyeapa kukufuta kaweka ghala la silaha kwa jirani yako ,
Ina maanisha nini
Mchambuzi wa masuala ya vita ukiwa Gongo la Mboto.Watu msio na akili mnaongea as if Iran ana uwezo huo, huo msafara wa Iran utateketezwa kabla ya kufika Syria na US yuko front line soon utaona moto unawaka Tehran and Ayatollah atakamatwa mchana kweupe na kuuawa mkiona, sasa US and Israel ndio wakati walisubiri sana kuiteketeza Iran na middle East itatulia, ni plan ya miaka karibu 40 ya kuiteketeza Iran na hii plan ilipangwa kwa kuipunguza nguvu za Russia kijeshi kwa vita vya Ukraine, sasa Iran atapigwa peke yake kwani Russia hatamsaidia ana vita yake kali na Ukraine.,
Sasa plan imekamilika kumpiga Iran kwani hakuna wa kumsaidia, watu wengi hawajui US ni Israel and vice versa, kwani wayahudi ndio wanaongoza US na dunia hii kwa sasa, Iran inaenda kuangamia moja kwa moja na hicho ndio kipo Washington kuichakaza Iran na itakuwa kama Libya, Iraq, Afghanistan or Syria
Kama ni Mungu wa Waisraeli sawa nikajua Mungu wa kweli wa ulimwengu wote.Wameumbwa Ila Wana maarifa na uwezo wa mkubwa Sana kuliko mataifa mengi
Ndo maana aliweza kuwatandika mataifa mengi kwa wakati mmoja NDANI ya siku sita tu
Lakini Wana Agano la milele na Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo
Basi tusubiri kitakachotokea.Vita ya Ukraine na Urusi ni tofauti kabisa na mgogoro wa Mashariki ya Kati.
Tangu kuanzishwa kwa Russian Federation, Ufaransa na Ujerumani zimekuwa kwenye mahusiano ya kidiplomasia na Urusi na zinawasiliana kupitia balozi zao. Unapotokea mvutano, mabalozi wa pande zote huwa wanaitwa na nchi walizopo kutoa maelezo, baada ya muda hali inatulia. Urusi inatambua huo uhusiano uliopo na umuhimu wake hivyo sio karata nzuri kwao kijeshi/kivita kushambulia balozi za hizo nchi na hatimaye kuanzisha vita na mataifa hayo ama na NATO kwa ujumla. Hiyo haina maana kwamba Urusi huwa haishambulii maeneo mengine ya kiraia.
Huo uhusiano niliousema ni tofauti na Israel na Iran ama Israel na Syria ambazo hazijawahi kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na hata sasa hazina uhusiano wa kidiplomasia. Hizo nchi zilishatangaziana vita zamani na tayari ziko kwenye vita hivi sasa.
Kitendo cha Israel kushambulia pale ubalozini Syria ni muendelezo wa vita ambayo ilishaanza muda mrefu. Ukitaka kufahamu hilo, fuatilia itikadi, mafundisho (doctrines), matamko ama pro-war rhetoric pamoja na operesheni za kijeshi zinazofanywa na Iran na washirika wake dhidi ya Israel.
Mfano halisi wa pro-war rhetoric ni ile kauli ya rais wa zamani wa Iran kwamba "Israel inapaswa kufutwa kwenye ramani ya dunia". Hiyo ni kauli inayoashiria vita iliyopo. Iran na washirika wake katika hiyo "Axis of Resistance" wanaitazama Israel kama "mvamizi" wa ardhi ya ile iliyokuwa "Palestine" na kwamba haipaswi kuwepo mahali hapo. Hilo ni tishio kamili la kiusalama kwa Israel ndio maana wakati mwingine Israel huwa inafanya preemptive strikes kabla haijashambuliwa.
Tujiulize haya maghala yalianza kuwekwa 2011.Hivi ukisikia adui yako aliyeapa kukufuta kaweka ghala la silaha kwa jirani yako ,
Ina maanisha nini