Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

We sikiliza, Vita ya Urusi na Nato haitahusu Vifaru wala Askari wa nchi kavu, usha ambiwa itahusu kubadilushana nucler, Vifaru na zile meli za Kubeba ndege ni kwa ajili ya kupigana vita ndogo ndogo hizi, Vita kubwa zitakuwa ni Inter continental Balistoc Missaile tu.
 
NATO pia wanatambua Urusi ana ant satelite weapons, muda wowote URUSI anaweza kushusha chini satelite, au kuzijam, So Kabla NATO hawajapigana na Urusi lazima wagundue techinolojia ya kuzuia silaha za kulipua Satelite, Pia lazima Ulaya iwe na Mitambo ya kisasa ya kuzui makombola ya nuclear kwa sasa hawana na mwisho lazima wajue itakuwa ndio vita ya mwisho.
Usidhani itapigwanwa vita then life iendelee kama ilivyo sasa
 
Pia anazania kupigana na Urusu itakuwa ni sawa na kupigana na Iraq
 
"wazungu wana akili sana" mtoa mada mrusi sio mzungu? Au me cjui anyway mmasai ni mmasai tu si mtu
Ulifikiri umeuliza swali la maana, ila unajua wanaojiita ni wazungu (whites) huko Ulaya wanatoka nchi zipi?
 
kwani Putin alisema hawezi kupigwa na NATO?
ila ni kwamba baada ya kuanza kumpiga ndo mtagundua bora tusingempiga...ngoja itokee ndo utanielewa nasema nini,NOTE MY WORD Urusi kwenye hii vita hatokuwa peke yake kama mnavyodhani
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…