Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

Mlangoni wakati walishaingia ndani,,mbona wanapigana na mrusi muda tu hakuna jipya, wanajeshi wa NATO walishaingia kwenye vita ya Ukraine muda tu na bado mrusi anamega nchi
Na ule mkwara wa kwamba atakayesaidia hata silaha tu atajibiwa vikali vipi hapo alijibu?
 
Ajibu wakati anawamega,,,ukila na kipofu usimshike mkono
Kwa hiyo anamega wapi Sasa USA au mi nilitegemea aanze kurusha mihypersonic miji ya ulaya na USA wanaoleta misaada yeye anazidi kupigana na ndugu yake wa damu🤣🤣
 
Kwa hiyo anamega wapi Sasa USA au mi nilitegemea aanze kurusha mihypersonic miji ya ulaya na USA wanaoleta misaada yeye anazidi kupigana na ndugu yake wa damu🤣🤣
Mipaka ya russia kabla ya kuanza huko ukraine iko vilevile??, arushe mihypersonic kwa hao wachumba wakati hapo ni sehem ya kupasha tu,,,hao jamaa hawapanic kama US na wenzake ona Israel hapo alijambishwa tu anataka kuua watu wote wa Gaza, Ukraine angekutana na Israel ndo angefanywa hayo unayowaza uzuri warusi sio ma barbarian kama hao wamagharibi
 
Haya mdo mathara ya kuangalia BBC na CNN kwa mda mregu
 
US Scrambles to Develop Hypersonic Missiles to Catch Up With Russia, China

Despite the billions of dollars in research and development funding dispensed by Congress in annual defense budgets, the US hypersonic missile programs to date boast a poor track record, marred by test failures and delays.
Desperate to catch up with Russia and China, the US is racing to develop hypersonic weapons for its Navy.
Towards that end, the US Navy is advancing its Hypersonic Air-Launched Offensive Anti-Surface Warfare (HALO) program. If all goes according to plan, it would equip surface and subsurface fleets with hypersonic anti-ship cruise missiles, as reported by The War Zone.
Contracts have reportedly already been awarded to defense contractors Raytheon and Lockheed Martin for competing missile designs said to be powered by ramjet or scramjet engines. A flight demonstration has been inked in for fiscal year 2027, with air-launched HALO missiles to be fielded sometime by 2029. From vessel-launched, these will potentially be expanded to surface- and subsurface-launched configurations
 
Hujafuatilia vizuri historia ya urusi wewe! hao ni agressors balaa halafu very corrupt country ndo maana pamoja na ukubwa wa eneo wanazidiwa gdp na kakisiwa ka Japani

Sikatai wana vichwa vizuri kwa upstairs ila ni very corrupt country kwa jinsi ilivyo Russia ilitakiwa uchumi iwe inakimbizana na USA siyo kwenye arms race tu!
 
Upo CNN kitengo gani mkuu
 
Walio corrupt ni hao Ukraine,,,shida mna akili za urusi ya yule mlevi mliemuweza,,,huyu sasa ni Putin,,vikwazo vyote ila hola......,,,hao Ukraine wanaouza silaha wanazopewa na mafuta ya jeshi blackmarket naona ndo wasafi sana na mfano mzuri wa marafiki wa wamagharibi
 
Watu wengi hawajuwi hili. Putting ameshapoteza wanajeshi wengi sana while nato ndio kwanza anajianda. Mwisho putting mtasikia amefariki. Kama wamemuondoa rais wa Iran
 
Unaongozwa na hisia na chuki Huna facts nakuonyesha ukilaza unadiriki sema USA watakuwa na civil war
 
Jichanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…