Naona wazazi wangu wamenichoka, ni muda sasa nami nianze kujitegemea

Kuna mdau huko juu kasema maza atakua hana maelewano mazuri na mshua so hasira anahamishia kwako hiyo ni truee kabisa,na kubwa kabisa mzee itakua above 50 bimkubwa below 40 hapo mzee hapigi show tu,nakumbuka nilipanga nyumba moja k/nyama mama mwenye nyumba alikua anawatukana watoto wake mitusi mizito anasimama uwanjani hadi majirani wanasikia alikua hana mume,baada ya muda akatokea mzee mmoja anampiga mashine kelele zote zikaisha anaongea kwa upole tu so hapo mchawi mshua mwambie ampige mashine maza atatulia tu,tafuta lugha ya kuongea na mshua aelewe hilo jukumu.
 
Mkuu hayomaisha kwangu mimi naona kawaida mkuu maana nilishawahi kushindia mkate na maji tena nilishawahi kutembea kwa mguu kutoka home mpaka chuo wiki nzima kipindi hicho boom lilichelewa kutoka nikawa nashida maji na mkate chuoni so kwangu maisha kama mimi nimeshayazoe hivo usinitishie maisha
 
Sema mkuu hiko chumba si kipo karibu na bar . Kwangu mimi sipendezwi na makelele ya bar nataka chumba kilichotulia kwajili ya kusomea
 
anasema eti 'mungu atanipambania' anachukulia pesa ni rahisi sana ๐Ÿ˜‚
Maisha ni mahumu abaki home ajioange litakua boom lina mpa wenge akimaliza chuo atajua hajui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Avumilie tu kila nyumba mambo ndo hayo hayo tena upate mama kakulia uswahilini utajua haujui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maisha ni mahumu abaki home ajioange litakua boom lina mpa wenge akimaliza chuo atajua hajui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Avumilie tu kila nyumba mambo ndo hayo hayo tena upate mama kakulia uswahilini utajua haujui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kwanza boom watu wanalisifia sana, laki kadhaa ni hela ndogo sana kimaisha halisi, boom hela ya kawaida sana
 
Me namjua maza A to Z huwa akitoka kugombana na marafiki zake huko au kwenye shughuli zake akirudi nyumbani hasira zote ananiamishia kwangu sasa mimi najiuliza nimemkosea nini maana kosa dogo ataongea hapo mpaka majirani wanasikia nami nimemchoka
We mtoto wa kiume nashangaa hata jambo dogo kama hili umeshindwa kuhandle, fanya majukumu yako kaa nae mbali.

Kuna uwezekano mkubwa wewe pia hua unaonesha kuchukizwa, kumjibu vibaya akipandisha na wewe unakunja ndita, kuzilazila na kususa. Kama unafanya hayo hawezi acha kukufokea kila mda.

We akikoroma chukulia poa tu mbona ataacha, wewe una hasira yeye ana hasira hapo hamtapikika chungu kimoja.
 
Akizidi sana tafuta mama yako mkubwa au ndugu yako mkubwa mueleze aongee na mama ako

Usihame home kama hao hao ndo wakukulipia pango
Dah mimi ndio mkubwa na nina mdogo wangu moja nae ni wakiume ila dogo yupo la pili so me ndio nakuwa house girl na house boy home maana maza washaniifanya niwe hivi ukiwaambia ndugu unaoneka una jeuri kwa wazazi mara umeanza zarau. Basi naamua kukaa nayo moyoni
 
Maisha ni mahumu abaki home ajioange litakua boom lina mpa wenge akimaliza chuo atajua hajui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Avumilie tu kila nyumba mambo ndo hayo hayo tena upate mama kakulia uswahilini utajua haujui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni boom hilo linamtia wenge, kwanini asihame kabla.
 
Sidhani kama wanakusingizia. Una mawazo ya kitoto, jaribu kulingana na miaka 21. Muda si mrefu Utakuwa na mji wako,kama hujui hata kumwaga maji kusukuma kinyesi, wewe ni mtu wa aina gani?
 
Inaweza Kuwa mzazi anashindwa kukuelewa ama ulishajiona matawi,na pia ni namna aliyoiona mzazi akubane ili aweze hakikisha mabadiliko ya tabia yako ama yapo yanayokuzuzua.Pia kwa jinsi ulivyo react na mwelekeo wa nia ya maamuzi yako.Inaonyesha inashinda ambayo imepelekea hali hiyo kwa mzazi ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ