Naona wazazi wangu wamenichoka, ni muda sasa nami nianze kujitegemea

Acha tu hapa naishi na wazazi wangu tena wakunizaa ila naona manyanyaso yamekuwa mengi hapa nyumbani ngoja nichomoke mwisho wa mwezi huu
Watakapofariki Wazazi wako kabla hujasimama kimaisha ndio utakuja kuwakumbuka na kuelewa kwamba hawakuwa wanakunyanyasa Bali walikuwa wanakufundisha maisha.

Nyinyi Watoto wa sasa hivi ni shida sana, hamuwezi kujituma Nyumbani kila kitu mpaka muambiwe.

Inasikitisha sana na hasa ukichukulia sisi Wazazi wetu hatukuwagharimu pesa tulisomeshwa bure na Nyerere na tulisoma wote shule za umma na Watoto wa mawaziri.

Kuna kijana wangu wa rika lako naye kila nikijaribu kumseti inaonekana ana akili za kitoto kama zako, inasikitisha kijana wa kiume hata kuamka tu asubuhi mpaka uamshwe kisa upo likizo, mtapata tabu sana kwenye maisha yenu am telling you.
 
Mtoto yeyote tena mtu mzima kama hivi wewe mleta mada ambaye anadiriki kabisa tena kwa nuia kuja kushitaki wazazi wake JF au kwenye public yoyote ni mpumbavu. Tena mpumbavu kabisa.
Wazazi waliokuzaa wamekulea toka utotoni bila kuchoka, wewe miaka 21 tayari ushawachoka na kuja kuwasimanga JF. Kweli?!
Soma post vizuri mkuu sijawashitaki wazazi wangu bali naelezea maswahibu ninayoyapitia hasa kipindi
 
Watakapofariki Wazazi wako kabla hujasimama kimaisha ndio utakuja kuwakumbuka na kuelewa kwamba hawakuwa wanakunyanyasa Bali walikuwa wanakufundisha maisha.

Nyinyi Watoto wa sasa hivi ni shida sana, hamuwezi kujituma Nyumbani kila kitu mpaka muambiwe.

Inasikitisha sana na hasa ukichukulia sisi Wazazi wetu hatukuwagharimu pesa tulisomeshwa bure na Nyerere na tulisoma wote shule za umma na Watoto wa mawaziri.

Kuna kijana wangu wa rika lako nayw kila nikijaribu kumseti inaonekana ana akili za kitoto kama zako, inasikitisha kijana wa kiume hata kuamka tu asubuhi mpaka uamshwe kisa upo likizo, mtapata tabu sana kwenye maisha yenu am telling you.
Sema ni mazoeaa tu.. sisi tumezaliwa wa kiume hadi leo nikienda home Napiga deki.. nalisha mifugo...kufagiaa kawaidaa sanaa yani mpaka jioni mama alikuwa anapika hapo tunapiga story huku mimi nakata nyanya...!! Sijawahi kataa kazi akinituma mazaaa hadi siku nilipompoteza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Alikuwa anasema mimi mwanangu ukinikosea adabu ntakupiga hata mbele ya mkeo nakwambiaa...[emoji3]She was the best mum may she rest in paradise.
 
Usiondoke nyumbani kichwa kichwa tu,jiandae vizuri kwanza ndo uondoke.
Hakikisha una hela ya kutosha ya kulipa pango angalau kwa miezi 3 mixer hela ya kununulia chakula na mahitaji mengine ya msingi.
 
Mkuu pole kwa kumpoteza mama.Let her continue resting in peace.
 
Sema ni mazoeaa tu.. sisi tumezaliwa wa kiume hadi leo nikienda home Napiga deki.. nalisha mifugo...kufagiaa kawaidaa sanaa yani mpaka jioni mama alikuwa anapika hapo tunapiga story huku mimi nakata nyanya...!! Sijawahi kataa kazi akinituma mazaaa hadi siku nilipompoteza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Alikuwa anasema mimi mwanangu ukinikosea adabu ntakupiga hata mbele ya mkeo nakwambiaa...[emoji3]She was the best mum may she rest in paradise.
Mkuu sio kwamba sifanyi kaz, i nafanya sana sema maza anaongea kila nikifanya kazi bado tu atakufokea mara udeki vizuri mara vyombo hujaviosha vizuri mara hivi mara hili yaani maneno mengi halafu sauti kubwa hadi majirani wanasikia
 
Watakapofariki Wazazi wako kabla hujasimama kimaisha ndio utakuja kuwakumbuka na kuelewa kwamba hawakuwa wanakunyanyasa Bali walikuwa wanakufundisha maisha.

Nyinyi Watoto wa sasa hivi ni shida sana, hamuwezi kujituma Nyumbani kila kitu mpaka muambiwe.

Inasikitisha sana na hasa ukichukulia sisi Wazazi wetu hatukuwagharimu pesa tulisomeshwa bure na Nyerere na tulisoma wote shule za umma na Watoto wa mawaziri.

Kuna kijana wangu wa rika lako nayw kila nikijaribu kumseti inaonekana ana akili za kitoto kama zako, inasikitisha kijana wa kiume hata kuamka tu asubuhi mpaka uamshwe kisa upo likizo, mtapata tabu sana kwenye maisha yenu am telling you.
Hamna mkuu me najituma sana na kazi nafanya sana ila bado nasemwa
 
Usiondoke nyumbani kichwa kichwa tu,jiandae vizuri kwanza ndo uondoke.
Hakikisha una hela ya kutosha ya kulipa pango angalau kwa miezi 3 mixer hela ya kununulia chakula na mahitaji mengine ya msingi.
Pesa ipo mkuu hapa kilichobaki ni kutafuta chumba hizi harakati nitazianza kuanzia kesho mkuu
 
Wazazi wengi wa Tanzania ni wabinafsi hawana upendo kwa watoto wao.. na hicho ndicho chanzo cha watanzania wengi kuwa watu wa roho mbaya..
 
Back
Top Bottom