Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Binadamu Mtakatifu umesahau kuwa ulikuwa na ID unajiita shetani mkuu? [emoji51]

unachosema ni kweli na mapepo hukaa mbali na mimi kwa sababu nguvu ya Bwana Yawheh iko ndani ya roho yangu [emoji4]
Usijidanganye kabisa Chifu maana hata Ayubu alikuwa Mcha Mungu lakini bado alijaribiwa tu.

Majaribu kwa Mcha Mungu ni kipimo cha ukomavu wa imani thabiti.
 
Mimi ni mlokole,
Nasali sana nahisi upinzani unakua mkumbwa....

Hope nimewatoboa macho kwenye ulimwengu wa roho....
 
Guys these thread moved from dreams to scary horror in a blink.

Binafsi sipendi juangalia horror movies. Ile series ya walking dead nilipoangalia episode ya kwanza nilifuta season zote nne. Sipendi kuchafua akili yangu kwa haya mambo kabisa. .

Drag me to hell inaonekana inatisha sana. .
 
Balaaa,andaa psychology kabisaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi ni mlokole,
Nasali sana nahisi upinzani unakua mkumbwa....

Hope nimewatoboa macho kwenye ulimwengu wa roho....
Siku zote tuko vitani kiroho na ukiwa unasali san nao wanafanya yao sana. Kuna kipindi niliumwa sana na nilipitia shida kubwa kiroho. Kama huna ulizi wa kiroho basi vita hii utashindwa?
Keshav ukiomba kila wakati. .
 
Ayubu alikuwa mcha Mungu kweli na alijaribiwa

Interlacustrine R umeokoka sasa?
Kuokoka kupo kwa aina 2.

1. Kuokoka kwa wokovu wa neema ya damu ya Yesu ili kupata uzima wa milele.

2. Kuokoka kwa kujikana nafsi (kutojihusisha na anasa za kidunia).

Biblia inanena "atayevumilia mpaka mwisho ndiye atayeokoka" inamaana wokovu wa pili ni hadi utapoondoka duniani ukiwa katika maisha ya kikristo kiimani na kivitendo ndipo utapokuwa umeokoka, Mungu na Watu ndiyo wataokutathmini wala si wewe binafsi.
 


Ni Wewe ndiye huyo kwenye picha??
 
Siku zote tuko vitani kiroho na ukiwa unasali san nao wanafanya yao sana. Kuna kipindi niliumwa sana na nilipitia shida kubwa kiroho. Kama huna ulizi wa kiroho basi vita hii utashindwa?
Keshav ukiomba kila wakati. .
Nikishindwa itakuaje Sasa tutapiga spana bampa to bampa....πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

Ntakua nasali Kila siku asbh mchana na jioni...
 
Nikishindwa itakuaje Sasa tutapiga spana bampa to bampa....πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

Ntakua nasali Kila siku asbh mchana na jioni...

Ila I wish nihame hapa nimtafute makazi mengine....
Hapo unapoishi ni umejenga au umepanga apartments?

Hapa napoishi jamaa walikuw wanawanga sana walioniuzia. Sasa nakumbuka kuna siku nilikuja jamaa akisema akifoka sitembei akinyamaza natembea. Nilihangaika nao san mahakama hawakuniweza


Ukiwa muoga wanakutesa sana. Mara nyingi Hofu hukaa na shetani. .
 
Wewe wa kike au wa kiume?
 
Wewe wa kike au wa kiume?
Mimi wa kiume mwanaume. Ni mtoto wa mangi kutoka Rombo infant hata mangi Horombo ambaye jina lake linakisi Rombo ni kwa wajomba zangu huko. .

Aliua tembo kwa mikono bila Silaha na jina langu ni la huko kwa familia yake😊
 
Hofu hukaa na shetani,

Maana tumepewa mamlaka...ni askari kamili na tuna SMG za kiroho....

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Wasalaam
Kwa Sasa+267
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivyo ndo viatu vyako ww na mkeo sasa kwann usiote unavamiwa nikushauri toa hii picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukorooofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…