mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Una akili mno. Nay wa Mitego alishaimba; 'shemeji kazima taa umemgeuza demu, we' mku ndugu yangu, unajikuta rijali hunaga cha shemu, we' mku ndugu yangu'.Mimi na kupenda kwangu totoz daah sijawahi kutamani shemeji yangu hata awe ameumbika namna gani.
Bwana santos06 kwenye hili mimi sipo meli moja na wewe [emoji23]
We' nawe ni kibibi cha hovyo. Mbona unakemea kwa lugha nyepesi nyepesi hivyo we kibibi?Ukute mumewe ndo ana chart na wewe
Yatakushinda mwanangu.
Kabisa! Ulikuwa offline siku hizi 3, sijui ulipigwa ban kwa kosa lipi kaka.Kama una hamu na wanawake oa baba
Uzinzi mbaya sana halafu mke wa mtu.
Inauma sana, vijana acheni kuwa na mazoea na wake za watu na pia kama umeoa ridhika na mke wako
Treat her well, mtoe out hata kama una hela nenda nae holiday muweke karibu.
What's wrong with you guys.
Shem apewe heshima yake na ukoilegeza kwake lazima akutongoze.
Usiwe shoulder wa kuegamiwa
Asante kwa kunijulia haliKabisa! Ulikuwa offline siku hizi 3, sijui ulipigwa ban kwa kosa lipi kaka.
Pole sana kaka. Nimecheka kidogo.Asante kwa kunijulia hali
Yalikuwa ni makosa upande wao
Kuna uzi jamaa alileta wa ng'ombe wa maziwa nikachangia wa kwanza kuuliza tu, nikala Ban kwa mara ya kwanza kwenye miaka 10 jf
Sijawahi kula ban ila nilihoji wakanirudisha
Phew
Usinicheke kwa kweli ilinishangaza ila kuna Mods mmoja katika watatu alinihurumia [emoji1] [emoji1787]Pole sana kaka. Nimecheka kidogo.
Inauma mnoUsinicheke kwa kweli ilinishangaza ila kuna Mods mmoja katika watatu alinihurumia [emoji1] [emoji1787]
Kula ban inauma wewe nilikuwa sijui
Unakaribia kuwa mchungajiRoho ya uzinzi
hili eneo uko vizuriMITHALI 6:32
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."
Unakaribia kuwa mchungaji
Ni kweli aiseI tell you homie Mwanamke akikuwinda unabidi kumkataa Kuna kitu anataka kufanya mission accomplish kuwa makini hiyo sio bahati usije ukajiona mjanja kutombanana na Malaya at ur age u can afford to get mwanake mwenye vision na anayejitambua pia uchafu sio mzuri weka eye sight in ur life
๐๐Sema sijafafanua vizuri tu kwenye sio bro ni pisi ya msela mmoja tu ivi mwanangu kiaina fulaniMimi na kupenda kwangu totoz daah sijawahi kutamani shemeji yangu hata awe ameumbika namna gani.
Bwana santos06 kwenye hili mimi sipo meli moja na wewe ๐