Asinizoeee😬😬😬🚮Kama una hamu na wanawake oa baba
Uzinzi mbaya sana halafu mke wa mtu.
Inauma sana, vijana acheni kuwa na mazoea na wake za watu na pia kama umeoa ridhika na mke wako
Treat her well, mtoe out hata kama una hela nenda nae holiday muweke karibu.
What's wrong with you guys.
Shem apewe heshima yake na ukoilegeza kwake lazima akutongoze.
Usiwe shoulder wa kuegamiwa
Vunja basi hiyo roho mama D, uokoe mtu asiende jehanamuRoho ya uzinzi
😂😂😂Two Senior idiot s at work
Ndio hivyo ndugu ni mtihani sana ona hii unakuta huyo kaka yake ndio alie mtoa huko sigimbi saa hii anatamani kumla mke wa Kaka yakeNdiyo maana wengine wanaitwa makatili tu. Wanafunga vioo. Kwenda kwake mpaka atake yeye.
Kimbia kama vile Yusuf alivyomkimbia mke Wa bosi WakeNanyemelewa na Pepo la uzinzi
This is surely can be karma to your friend but why to be the one to do it ?.Mumewe ni anatembeza djaro arungu sana, yaani zipu wazi. Pisi imevumilia mpaka sasa naona nayo inaachia ipate japo faraja.
Indeed gee this situation is very contradictory, that's way nimeweka Uzi jukwaaniYou need to be a wise man to avoid the trap that she is about to set on you dude and why to fu.ck a woman whom has happened to be your sister-in-law just to please you or her. It doesn't make sense at all to me.
Ni wa rafiki yake si wa kaka.Ujue tu ukishafanikiwa kutimiza lengo lako utajilaumu kupita maelezo, itakuwa majuto yasiyo na mwisho, kila umuonapo kaka yako na hasa kama ana upendo wa dhati kwako kama mdogo wake.
Tena kaa nae mbali bila hasiraAsinizoeee[emoji51][emoji51][emoji51][emoji706]
Kwahiyo umeamua kumsaliti msela?Bora ata angekua ndugu ni mke wa jamaa tu mmoja tulikutana chuo miaka hio