Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

Tena kaa nae mbali bila hasira

Ila usionyeshe hasira kwake atakugeuzia kibao
Wanawake wengine ni nyoko
Atamwambia mume wake umemtongoza
Na urafiki unakuwa uadui
Jichungeni sana na msg ni ushahidi mkubwa sana huchomoki
Ushauri wako mbn kama unanirudisha kimasihara tena
 
Sijaamua mzee ndo maana nimeleta Uzi hapa naheshimu sana ndoa ya mtu
Vitabu vya dini vinasema ukimtamani mwanamke kwa kulala nae tayari umetenda dhambi. Jitakase kijana wangu omba toba, usitamani mke wa rafiki yako wala mjakazi wake wala punda wake.
 
Vitabu vya dini vinasema ukimtamani mwanamke kwa kulala nae tayari umetenda dhambi. Jitakase kijana wangu omba toba, usitamani mke wa rafiki yako wala mjakazi wake wala punda wake.
Aise kuishi kwenye misingi ya neno mbona ngumu sana
 
Una akili mno. Nay wa Mitego alishaimba; 'shemeji kazima taa umemgeuza demu, we' mku ndugu yangu, unajikuta rijali hunaga cha shemu, we' mku ndugu yangu'.

Keep up bro. Huo ndiyo utu. Uhuni wetu na ukichaa wetu usifanye tukose utu na kujiona wajanja
😀😀😀Mkuu hapo tatizo ni mimi au mke wake?
 
Kwanza pole Kwa kula ban afu ndo tuendelee na mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…