Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

mama D unaweza ishi bila kutenda dhambii? Unaamini kwamba dhambii zote ni sawa?

Hata Mungu anajua ndio maana tuna kibali cha toba

Dhambi zote ni makosa yaliyosawa mbele za Mungu lakini zipo dhambi zinazozalisha majanga mengi kwetu zaidi ya nyingine

Ulishawahi kujiuliza madhara ya dhambi ya ZINAA?

ZINAA ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo vingi kuliko dhambi zingine

ZINAA ina hatari kubwa sana kwetu maana ukishanajisi mwili inamoishi roho yako huna sehemu ya kukutana na Mungu wala malaika

1 WAKORINTO 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
 
Wagalatia 5:19-21 (KJV) Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Kila mtu ni mchungaji kwa nafasi yake

Labda uniambie wewe hujui hata usalama wa familia yako wala Mali zakoπŸ˜…πŸ˜…
Mchungaji wa huku jf😍🀣
 
analipizia kisasi kupitia wewe

Yaani mumewe akicheat anajisemea kimoyomoyo hata haiumi nilimpea rafiki ako and ur friend ikimfikia ataumia mno tena sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
analipizia kisasi kupitia wewe

Yaani mumewe akicheat anajisemea kimoyomoyo hata haiumi nilimpea rafiki ako and ur friend ikimfikia ataumia mno tena sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa huu ni mtego, nikipiga lazima atafanya Kila namna jamaa yake ajue🀣🀣 ili kimuume mwisho mwamba abaki kunichukia mimi
 
Tatizo ni wewe Mkuu, ume Fantasize huo Upuuzi. una Flirt na Mke wa mtu.

Acha tabia ya kujichekesha na wake za watu, hawana Maana yoyote hao. Endelea kula Mabinti walio single tena wabichi.

Thank me later.
Apa umetufungia Uzi kabisaπŸ”πŸ”
 
Hawa mashem shem wauawe
Mashemeji wote wapigwe mawe
Mashemeji wote wachomwe moto
Mana wanafiki sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uasikia shemeji ooh
Shemeji aah
Ebwana ndugu yetu si anakupenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekumbuka tu hii nyimbo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…