Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi.

Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto.
Maana tulikutana kwenye ishu za chuo ambapo tulipanga nyumba Moja, hivyo mademu zetu wakawa marafiki mpaka Leo

Tumezoeana kiasi kwamba haogopi kabisa kufunguka ishu zake za ndani na mumewe.
Mara kadhaa tumesuluhisha migogoro Yao ya michepuko

Mumewe ni anatembeza djaro arungu sana, yaani zipu wazi. Pisi imevumilia mpaka sasa naona nayo inaachia ipate japo faraja. Kilichonishangaza ni yeye kuomba link telegram😱😱.

Kwa mazingira haya naona kimasihara on the spot. Lakini najiuliza Sasa itakuaje?🤔🤔🤔 Nimestack kweli hapa pisi ya msela lakini Kwa mazingira haya daah?

Screenshot_20230206-083038.png
Screenshot_20230206-083239.png
 
🤔🤔🤔🤔
I tell you homie Mwanamke akikuwinda unabidi kumkataa Kuna kitu anataka kufanya mission accomplish kuwa makini hiyo sio bahati usije ukajiona mjanja kutombanana na Malaya at ur age u can afford to get mwanake mwenye vision na anayejitambua pia uchafu sio mzuri weka eye sight in ur life
 
Kama una hamu na wanawake oa baba

Uzinzi mbaya sana halafu mke wa mtu.

Inauma sana, vijana acheni kuwa na mazoea na wake za watu na pia kama umeoa ridhika na mke wako

Treat her well, mtoe out hata kama una hela nenda nae holiday muweke karibu.

What's wrong with you guys.

Shem apewe heshima yake na ukoilegeza kwake lazima akutongoze.

Usiwe shoulder wa kuegamiwa
 
Back
Top Bottom