DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi.
Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto.
Maana tulikutana kwenye ishu za chuo ambapo tulipanga nyumba Moja, hivyo mademu zetu wakawa marafiki mpaka Leo
Tumezoeana kiasi kwamba haogopi kabisa kufunguka ishu zake za ndani na mumewe.
Mara kadhaa tumesuluhisha migogoro Yao ya michepuko
Mumewe ni anatembeza djaro arungu sana, yaani zipu wazi. Pisi imevumilia mpaka sasa naona nayo inaachia ipate japo faraja. Kilichonishangaza ni yeye kuomba link telegram😱😱.
Kwa mazingira haya naona kimasihara on the spot. Lakini najiuliza Sasa itakuaje?🤔🤔🤔 Nimestack kweli hapa pisi ya msela lakini Kwa mazingira haya daah?