Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
- Thread starter
- #101
Asante changamoto kuna kazi moja ninaisubiria mpaka leo na sina uhakika itakuja lini na hiyo ndio iliyonipa million 3 kwa ajjili ya biashara.Wewe kwenye kujiajiri,vyote unavyo kasoro kimoja tu,uthubutu wa kuamua kuanza,
Unao mtaji,chombo Cha usafiri kukurahisishia mishemishe unayo,bado uthubutu wako na wazo la n nini ufanye ndo umekosa,
Unatakiwa usiogope kuamua ,watu wanaendesha biashara mtaji milioni,pesa inayozunguka kwenye uchuuzi Ni laki 4 tu na daily uhakika kukunja 15 Hadi 30