king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Hiyo sio Kaz ni utumwaak tatu kazi had usiku wa ma nane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie hili andiko lako alitafutie fremu aliwekee kisha aweke ukutani chumbani kwake awe analisoma kila siku kabla ya kulala na kila aamkapo asubuhiWewe kwenye kujiajiri,vyote unavyo kasoro kimoja tu,uthubutu wa kuamua kuanza,
Unao mtaji,chombo Cha usafiri kukurahisishia mishemishe unayo,bado uthubutu wako na wazo la n nini ufanye ndo umekosa,
Unatakiwa usiogope kuamua ,watu wanaendesha biashara mtaji milioni,pesa inayozunguka kwenye uchuuzi Ni laki 4 tu na daily uhakika kukunja 15 Hadi 30
Ushauri muruaIkifika suala hilo huitaji ushauri jipange vuzuri tu ujue nini unaenda kufanya after
Hahhhhhh nmecheka KW nguvu knomaKama we mshauri wa kujiajiri huu ndo uwezo wako wa hesabu kuwa 300,000÷30 ni buku 1 hiyo biashara hamtoboi
NZuri hyoIsikilize Sauti iliyopo ndani mwako. Niliwahi kumshirikisha mke na dadaangu kwamba Nataka kuacha kazi nitumie akili yangu kujijenga kiuchumi. Nilipata vitisho vizito sana na nikatishika lakini baadae Nikaja kugundua kwamba yanahitajika maamuzi magumu kuacha kazi na kipindi hicho nilikuwaga nalipwa laki6 take home. Lakini nikaingia kufanya mishe zangu kwa maamuzi Binafsi , baadae mke na dada wakaja kunishangaa maana Nikawa na limitless income Halafu muda Nikawa ninao wa kutosha kulea familia pia Nikawa huru kusimamia vitu vyangu. So Amua mwenyewe from your heart. Kama Sauti ya ndani hairidhiki uache kazi basi usiache ila kama ile Sauti imeridhia 100% hakuna kitakqchoharibika achana na hicho kikazi tengeneza pesa zako. Huo muda spend kutengeneza business.
Kwani ukiendelea na ajira huko na biashara huku utashindwa kusimamia? Biashara sijui ni upande wangu lkn kwasasa naona ni nzito sana! Usiache kazi kwanza fikiria namna bora ya kuendesha biashara huku ukiwa kazini.
Hizo anazo enda piga ana uhakika nazo? Kumbuka hapo ni volunteer tena ana miezi 6 tu3... bora ajibane mbeleni anaweza kuajiriwa Kama atakuwa na juhudi kazini... huku mtaani ana mishe zingine.... Kikubwa aweze tu kusimamia.
..... we acha halafu ingia mtaani uone ...
Hao "wanaomvutia" waliwezaje kufika halafu yeye ashindwe??Ndo ushauri wangu huo.. mtaani sio kurahisi kama uonavyo ..kuna safari ndefu mpaka uwafikie wanao kuvutia
Kama Kuna gap la kuvipeleka vyote kwa pamoja itapendeza zaidiWakuu,
Mimi nikijana ninafanya kazi kwenye taasisi moja nchini kama Volunteer kwa muda wa miezi sita sasa.
Mwanzo nilikuwa nafanya kazi kwenye moja la shirika kubwa na mshahara mzuri sema mkataba uliwahi kuisha.
Hivyo Sehemu nayofanyia kazi kwa sasa nalipwa laki 3 ambayo hiyo hela nikijumlisha na mahitaji yote ni ndogo sana.
Juzi NSSF wamenilipa million 3. Na nina pikipiki nilinunua bodaboda wangu kairudisha so niko nayo.
Nimepata wazo la kuacha kazi nikajiajiri kwa hii Hela niliyoipata ya mafao.
Niliwaza mkoa wa Morogoro au Dodoma.
Ushauri wakuu.
Wazo ni nalo sema sijaamua kushare mkuuUsiache kazi!
Kwa sababu
1 huna wazo la biashara
2 huna uhakika na biashara itaendelea vizuri au haitaendelea
Ikiwa una wazo la kufungua biashara!
Fungua huku unaendelea na kazi ikisha kuwa imara na ukapima kipato kinatosheleza kujiendesha bila kazi ndipo uache kazi, kinyume na hapo huenda ukakilaumu baadae
Shida sina mawazo ya kufanya mradi wowote dar ...nawaza zaidi mkoani naona huko ndilo ntakapotoboaKama Kuna gap la kuvipeleka vyote kwa pamoja itapendeza zaidi
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Mkuu unaweza kunipa neno Moja nina imani litaweza kunisaidia .Hao "wanaomvutia" waliwezaje kufika halafu yeye ashindwe??
Unadhani wao wangekuwa bado ajirani Leo hii wangevutia?
#YNWA
Asante sana kaka.Isikilize Sauti iliyopo ndani mwako. Niliwahi kumshirikisha mke na dadaangu kwamba Nataka kuacha kazi nitumie akili yangu kujijenga kiuchumi. Nilipata vitisho vizito sana na nikatishika lakini baadae Nikaja kugundua kwamba yanahitajika maamuzi magumu kuacha kazi na kipindi hicho nilikuwaga nalipwa laki6 take home. Lakini nikaingia kufanya mishe zangu kwa maamuzi Binafsi , baadae mke na dada wakaja kunishangaa maana Nikawa na limitless income Halafu muda Nikawa ninao wa kutosha kulea familia pia Nikawa huru kusimamia vitu vyangu. So Amua mwenyewe from your heart. Kama Sauti ya ndani hairidhiki uache kazi basi usiache ila kama ile Sauti imeridhia 100% hakuna kitakqchoharibika achana na hicho kikazi tengeneza pesa zako. Huo muda spend kutengeneza business.